Kijiji chote warudisha Kadi za CCM

Niko pub hapa Tanga Hotel,kuna hii cable TV ya Tanga inaonyesha wanakijiji(sijui kipi kuna kelele) wameriot wanakadi za CCM wanarudisha baada ya TANROADS kukataa kuwalipa fidia kwenye mradi wa barabara ya TANGA to MOMBASA.
Source. Tanga TV

Tanga ni kama mji wa Sirte ya Libya, will be the last to liberated kifikra
 
Ina hawakujuaga hawa magwanda it is very danger? Wamechelewa sana kurudisha. Mi ctaki hata nisikie hbr ya vijana walioko sisiem.
 
Mkuu Twahil knows what he is saying, watanzania wengi walio pembezoni wanauza kura kwa ubwabwa, kofia na tisheti za kichina

pia usisahau watanzania ni mabingwa wa kusahau duniani

Hizi dharau zenu kwa wanavijiji ndizo zinawafanya kila cku muangukie pua na kuishia kulalamika kwamba mnaibiwa kura! Hivi kwanini wana magwanda msi-admit kwamba pasipo na uhamasishaji hapana kura za ubwete?! Hivi mwanakijiji wa Kasulu ana tofauti gani na mwanakijiji wa Tanga au LinDi? Hivi mwanakijiji wa pemba kwanini asihongeke na kofia za CCM na ahongeke yule wa Mtwara?! Mimi ni mtu wa Lindi, na kijiji chetu ni miongoni mwa vijiji vikubwa kabisa kwa mkoa Lindi na hata kwa baadhi ya mikoa mingine hapa nchini! Lakini ninapokutana na wanakijiji wenzangu na kuwauliza kuhusu CHADEMA kule, wanasema hakuna kabisa chama kama hicho na wala ofisi hawana!!! Je, unazani wanakijiji ni marimbukeni kiasi hicho wafikie kuichagua CHADEMA wakati hata ofisi hawana?! Niliwahi kumuuliza mdogo wangu ambae anaishi kule endapo kuna kiongozi yeyote wa CHADEMA amewahi kufika pale; jibu lake ni kwamba hata huyo wa Wilaya kama yupo; hajawahi kukanyaga!!! Sasa unazani mwanakijiji kama huyo ataipa kura CHADEMA kwavile tu kamuona Mbowe na Slaa wanaruka kwa helikopter?! Yale maandamano ya CHADEMA ya nchi nzima yaliishia wapi kama sio kule kule tulikokuzoea?! Lindi waligusa? Tanga je? Mtwara walifika? Then unmatarajia watakishobokea chama kama hicho?! Mimi nawaunga mkono wanakijiji wasioshobokea wanasiasa! Potelea mbali, acha wawachague hao hao mafisadi ambao wanazikana nao kuliko kushoboka kwa watu wasio na time nao! Kote ambako upinzani una nguvu; ni wapinzani wenyewe walifanya wawe na nguvu! So, how du expect wengine wafuate upepo?! MBONA Lipumba alivyopiga kambi kusini alipata viti viwili (Kilwa na Lindi)? Acheni kuwatukana babu na bibi zetu; kama wa kwenu ni wasomi na wameamua kufuata mageuzi, waacheni wakwetu na ushamba wao!!! Badala ya kuwatukana viongozi wa upinzani wanaoshindwa kujenga base, mnaishia kutukana wanavjiji!!! sincerly, nachukizwa sana na hii hali ya kuwaona wanavijiji wa mikoa fulani ni mbumbumbu na wengine ndo wajuvi wakati wote hawaombani mboga! Hivi mnajisikiaje kila siku mnawatusi wanavijiji humu jamvini wakati mnajua hawana access ya internet ya kuwawezesha kujibu tuhuma na matusi yenu! Ningekuwa na mamlaka humu jamvini, nisingeruhusu threads zinazowadhalilisha wanavjiji wakati ndio hao hao wanaowafanya mjaze vyoo vyenu na kuwapa jeuri ya kuja kuwatukana humu jamvini! Mnafikiri hizo kodi zinazowasomesha hadi leo mnaingia JF zinatoka wapi kama si toka kwa hao hao wakulima wa korosho, ufuta, matunda, nazi na mihogo?! acheni upumbavu wenu bana; waheshimuni kama mnavyowashemu baba zenu.
 
punguza munkari sasa MAPOVU yote ya nini?
 
Pumba tupu, hoja hapa ni kijiji chote warudisha kadi za CCM sasa mambo ya Mbowe yanatoka wapi au Chadema inakutesa kiasi ukipata upenyo wa kupumulia unatoa uchafu wote hovyo..
 
Mkuu Twahil knows what he is saying, watanzania wengi walio pembezoni wanauza kura kwa ubwabwa, kofia na tisheti za kichina

pia usisahau watanzania ni mabingwa wa kusahau duniani
nakubaliana na wewe mkuu,
 
Pumba tupu, hoja hapa ni kijiji chote warudisha kadi za CCM sasa mambo ya Mbowe yanatoka wapi au Chadema inakutesa kiasi ukipata upenyo wa kupumulia unatoa uchafu wote hovyo..

USIZANI nashindwa kuongea lugha kama ya kwako, isipokuwa naku-ignore! Ila ukiendelea, sitachelea kupigwa ban humu!
 
Mkuu Twahil knows what he is saying, watanzania wengi walio pembezoni wanauza kura kwa ubwabwa, kofia na tisheti za kichina

pia usisahau watanzania ni mabingwa wa kusahau duniani

Hahaha well said ngoja nikugongee like wavivu sana mpaka wa akili hawa jamaa ni mabingwa wa kuzaa na kuzalisha watoto no elimu wala uchumi...ila bora mimi sijasema nilikuwa napita tuu
 
Back
Top Bottom