Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Baba Uzia

Senior Member
Jul 19, 2015
136
54
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna sumu ambayo wanaiacha kwenye mboga hizo na Matunda na ikitokea binadamu akala anapoteza maisha.

Wakuu picha zenyewe ndio hizo japo hazina ubora wa hali ya juu, umbi lake ni kichwa tu hana miguu na anajishikiza kwenye tawi la mmea husika. Mimi nipo hapa GEITA sio longolongo na kuna baadhi ya maeneo ukikamatwa unauza mboga za majani FAINI TSH 5,000/=
IMG_20170603_174453.jpg
IMG_20170603_174451.jpg
IMG_20170603_174615.jpg

Wajulishe ndugu na jamaa na wasaidizi wetu nyumbani wanapotayarisha mboga na matunda
Kuna huyu mdudu hatari anaenea kwa kasi..hakikisha mboga zinaoshwa vizuri na kwa kurudiaView attachment 526464View attachment 526466View attachment 526467
 
Duuuuh mleta mada kua crias tupia japo ka picha tuwajue dudu mtu wengine tunaishi huku wajameni
 
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna sumu ambayo wanaiacha kwenye mboga hizo na Matunda na ikitokea binadamu akala anapoteza maisha.
hii habari bila kapicha hainogiiii
 
Wadudu hatari kwenye sura ya nyani/ mbwa wawatia hofu wakazi wa Geita kutokula mboga za majani. Wadudu hao maarufu kama DUDU MTU wametapakaa kwenye mboga za majani na Matunda, inasemekana kuna sumu ambayo wanaiacha kwenye mboga hizo na Matunda na ikitokea binadamu akala anapoteza maisha.
Habari za uzushi hakuna ukweli wowote juu ya jambo hili mamlaka husika zimewaomba wale waliomwona mdudu mtu wamkamate ili uchunguzi ufanyike hamna hats mmoja aliyejitokeza acheni kuwatia watu hofu.
Pia mnataka kuwatia hofu wananchi wanaoishi kwa kula na kuuza mboga sio jambo zuri
 
Hao wadudu nimewahi kuwaona nikiwa primary ktk maua,kweli wanafanana kiasi na watu ndio maana wanaitwa dudu mtu.
 
MKUU NI KWELI UNACHOKISEMA MIMI KWA MACHO YANGU NILIWAHI KUSHUUDIA NI KWELI WALE WADUDU WANAFANANA NA BINADAMU KWENYE USO WEUSI KISULA
NILIWAHI KUSHUDIA KWENYE MAJANI YA MTI WA KISAMVU, AU WENGINE WANAPENDA KUITA MAJANI YA MHUGO AMBAYO HUTENGENEZWA MBOGA ,NAZANI WATU WA KAHAMA WANAPENDA SANA MBOGA HIYO.

KESHO NTAPIGA PICHA NIWAONESHA KAMA NTAPATA MDA , KWA MALA YA KWANZA NILIMUONA KWENYE MAJANI HAYO
cassava.jpg
MBOGA YA KISAMVU.jpg
 
Habari za uzushi hakuna ukweli wowote juu ya jambo hili mamlaka husika zimewaomba wale waliomwona mdudu mtu wamkamate ili uchunguzi ufanyike hamna hats mmoja aliyejitokeza acheni kuwatia watu hofu.
Pia mnataka kuwatia hofu wananchi wanaoishi kwa kula na kuuza mboga sio jambo zuri
Hizo mamlaka kabla hawajasema ni uzushi waende eneo husika wakafanye utafiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom