Tetesi: Wadudu wa "kidudu Mtu" wazua hofu, Wanakula mboga na Matunda

Hii nchi noma Sana, yote hii ni kutaka kututoa kwenye mchele wa makinikia
 
Nashangaa hii taarifa juu ya huyu mdudu inasambaa kwa kasi na mamlaka husika ziko kimya tu..hazitoi taarifa husika..nafikiri wizara ya afya wangetoa tamko.....
 
Nilimwona miaka ya 90 huku kijijini kwetu, nashangaa alikuwa hajafika tu huko mjini.
 
mbona wizara husika zipo kimya khs huyu mdudu na hatua gani zimechukuliwa na serikali....

ngoja tufe ndio watashtuka.
 
Atari sana, huku mchele wa plastiki, kule mayai ya plastic.Bila kusahau makinikia, tutapona kweli?
 
45ca539fb4d18a6f2756755b02825f5e.jpg
Huyu ni mdudu au mnyama? ni mdudu kwa misingi ipi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom