DSN
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 2,837
- 1,674
- Thread starter
- #41
Hivyo basi kwa mwenendo huo wananchi wana safari kubwa sana ya kujenga Nchi yao wenyewe,kwa kuwa kumbe viongozi wetu wanajnga Nchi kwa personal conflict of interst zaidi kuliko matamanio ya kuleta ustawi kwa wananchi ambao wamewachagua wao wabunge,na baadhi yao kuibuka kuwa Mawaziri kwenye Serikali yetu.Hakika bado ni giza tololo tunaitaji Watanzania makini watuamshe usingizini.