its the other way round, wao ndio walioshika mpini, na sisi kwenye makali!.
P.
10% imetuponza watanzania....Mtoa mada amekuja Leo Tanzania?
Hajui mikataba imesainiwa na CCM?
its the other way round, wao ndio walioshika mpini, na sisi kwenye makali!.
P.
Naunga mkono hoja.
Tusikubali udhalilishaji wa Jarida la The Economist, lamwita Rais wetu "Dinasauria wa Dodoma” na "bullheaded socialist"
Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!
Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli? Kama si kweli, Tusiukubali Uongo huu, Tuukanushe!
Huku sio kudhalilishwa kwa Rais wetu na Media za Nje? Je, watanzania tukubali, Tukae kimya?
Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!
P.
Wale mafisadi waliokimbilia huko ndio unaowaongelea?10% imetuponza watanzania....Mtoa mada amekuja Leo Tanzania?
Hajui mikataba imesainiwa na CCM?
Halafu watanzania wameendelea kuishi na kuongezeka dunianiDonors were expected to support its 2016/2017 budget with Tsh2.8 trillion ($1.4 billion), but only Tsh600 billion ($300 million) out of Tsh3.6 trillion ($1.8 billion) pledged has been realised.... Kaka Mligo Augustino hao ndio wanaomiliki the economist na huwezi kuwafanya lolote!!
Mbona sijaona tusi lolote lile katika andiko lile? Au kidhungu kinanipiga za chembe!Mbona sisi hatuna uhuru wa namna hiyo wa kukosoa waziri mkuu wa Uingereza na serikali yake ambako ndiko gazeti hilo huchapishwa. Sasa iweje wao wawe na uhuru wa namna hiyo wa hadi kumtukana rais wetu na serikali yake? Kwani nao wamekuwa chadema? Haiwezekani na wala si haki.
Wataje kwa majina! But usisahau kuwa ni wanachama waaminifu sana wa ccm!Wale mafisadi waliokimbilia huko ndio unaowaongelea?
Wanatoa kodi zao kwetu au wanapora maliasili yetu? Hilo gazeti si linatoka huko wanakotoka akina Accasia waliopora makinikia yetu ya thamani ya Sh 430 trillion? Sasa wanategemea uchumi wetu usiporomoke kivipi wakati wanaendelea kuupora?Kwao ni haki ndugu yangu kwa vile wanatoa kodi zao kwetu..
Wao kama wangekuwa hawana msaada wowote do u think wangekuwa na time na ishu zetu?
But wanajua kuwa wao ndio wanachangia pato letu kwa kuja kuangalia wanyama, kutoa pesa kwenye bajet kutoa mikopo na mambo kibao
nimekukubali mkuu...The ECONOMIST ni kijarida toka lini?
The Economist is an English-language weekly magazine-format newspaper owned by the Economist Group and edited at offices in London. Continuous publication began under its founder, James Wilson, in September 1843. In 2015 its average weekly circulation was a little over 1.5 million, about half of which were sold in the United States.
....Vipeperushi mkuuEconomist kikiwa kijarida, Uhuru na Mzalendo tuyaiteje?
Wanatoa kodi zao kwetu au wanapora maliasili yetu? Hilo gazeti si linatoka huko wanakotoka akina Accasia waliopora makinikia yetu ya thamani ya Sh 430 trillion? Sasa wanategemea uchumi wetu usiporomoke kivipi wakati wanaendelea kuupora?
Mimi hata sikisomagi
Hujawatendea haki au hauna taarifa sahihi.UK kwanini wanawabeba sana wala rushwa wa Afrika? Kwanini wakati wa radar na hela zilizofichwa huko walikaa kimya?
Unadhani likiendelea na upuuzi na uongo litaachwa?Kweli dawa imewaingia, kila kukicha mnaliwaza The Economist, halafu eti unaliita kijarida hahaha, Mwambie Abasi pale Maelezo alifungie kama mlivyozoea huku uswahilini
Wazungu hawana jipya...wanataka kuendeleza ukoloni wao tuHujawatendea haki au hauna taarifa sahihi.