Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Member mpya anafananusha the Economist na gazeti la Uhuru
Tukwambie tuu gazeti hili linasomwa na ku-influence watu wenye fedha zao duniani wakiwemo wawekezaji makubwa
Hawa jamaa wana mpaka kitu kinaitwa Economist Intelligency Uniy (EIU) ambayo ni source nzuri sana ya taarifa nyeti za dunia hii.