Kijarida cha Economist ni "mdomo" wa mafisadi na wezi wa rasilimali za Tanzania

Donors were expected to support its 2016/2017 budget with Tsh2.8 trillion ($1.4 billion), but only Tsh600 billion ($300 million) out of Tsh3.6 trillion ($1.8 billion) pledged has been realised.... Kaka Mligo Augustino hao ndio wanaomiliki the economist na huwezi kuwafanya lolote!!
 
Halafu watanzania wameendelea kuishi na kuongezeka duniani
 
Mbona sisi hatuna uhuru wa namna hiyo wa kukosoa waziri mkuu wa Uingereza na serikali yake ambako ndiko gazeti hilo huchapishwa. Sasa iweje wao wawe na uhuru wa namna hiyo wa hadi kumtukana rais wetu na serikali yake? Kwani nao wamekuwa chadema? Haiwezekani na wala si haki.
Mbona sijaona tusi lolote lile katika andiko lile? Au kidhungu kinanipiga za chembe!
Nisaidie tusi japo moja tu katika gazeti hilo nami nitoe mapovu!
 
Kweli dawa imewaingia, kila kukicha mnaliwaza The Economist, halafu eti unaliita kijarida hahaha, Mwambie Abasi pale Maelezo alifungie kama mlivyozoea huku uswahilini
 
Kwao ni haki ndugu yangu kwa vile wanatoa kodi zao kwetu..

Wao kama wangekuwa hawana msaada wowote do u think wangekuwa na time na ishu zetu?

But wanajua kuwa wao ndio wanachangia pato letu kwa kuja kuangalia wanyama, kutoa pesa kwenye bajet kutoa mikopo na mambo kibao
Wanatoa kodi zao kwetu au wanapora maliasili yetu? Hilo gazeti si linatoka huko wanakotoka akina Accasia waliopora makinikia yetu ya thamani ya Sh 430 trillion? Sasa wanategemea uchumi wetu usiporomoke kivipi wakati wanaendelea kuupora?
 
Wakati makemikia yanapita ubungo kwenda bandarini ww ulikuwa wapi kwenda kuzuia?

Umewahi kuona piki piki ya escot ya wazungu ikiongoza makontena kwenda bandarini?

Maliasili tumetoa wenyewe kwa bure then unataka kuwapa wao lawama?

Tufanye ni ww leo unambiwa kontena moja la dhahabu ni equivalent to kontena moja la chandarua utakataa?
 
You have my support 100% comrade.Ni watu wachache sana wanaojitambua na wanao-ona ukweli huu.Congratulations.
 
Kumbe hiki kijarida ndo kimefanya sukari, cement na nondo zipande bei daaah inabidi kipigwe moto
 
Kweli dawa imewaingia, kila kukicha mnaliwaza The Economist, halafu eti unaliita kijarida hahaha, Mwambie Abasi pale Maelezo alifungie kama mlivyozoea huku uswahilini
Unadhani likiendelea na upuuzi na uongo litaachwa?
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom