chegreyson
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 974
- 434
Mkuu ndio wizi wenyewe huo,wanatumia umaskini wa watendaji kama ulimbo wa kutegea ndege,akitua tu amenaswa.Hivi kwenye swala la madini ni wazungu wametuibia au watu wetu na watanzania wenzetu walishindwa kuweka uzalendo na maslai ya taifa?