Kijarida cha Economist ni "mdomo" wa mafisadi na wezi wa rasilimali za Tanzania

Hivi kwenye swala la madini ni wazungu wametuibia au watu wetu na watanzania wenzetu walishindwa kuweka uzalendo na maslai ya taifa?
Mkuu ndio wizi wenyewe huo,wanatumia umaskini wa watendaji kama ulimbo wa kutegea ndege,akitua tu amenaswa.
 
Wanatoa kodi zao kwetu au wanapora maliasili yetu? Hilo gazeti si linatoka huko wanakotoka akina Accasia waliopora makinikia yetu ya thamani ya Sh 430 trillion? Sasa wanategemea uchumi wetu usiporomoke kivipi wakati wanaendelea kuupora?
Acacia hawatoki U. K bali America! Na Acacia haijawahi kupora chochote kutoka kwenu kwa kutumia tafsiri ya neno kupora!
 
Wale mafisadi waliokimbilia huko ndio unaowaongelea?

Mahakama ya Mafisadi ilianzishwa kwa ajili ya kuwahadaa Watanzania wanyonge?

Hao waliokula 10% nawaona wanadunda Mtaani Akina Nazir Karamagi, Andrew Chenge, Medard Kalemani....etc

Nyie vilaza mnatumwa kufanya propaganda uchwara mitandaoni....

Kweli wewe Jinga
 
Back
Top Bottom