Kijana wa kuuza chipsi

Kijana wa kuuza chipsi

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
37,707
Reaction score
109,249
Ndugu zanguni anahitajika kijana wa kuuza chipsi mwenye kuweza kutoa sahani zaidi ya 20 kwa ndoo moja.
Eneo ni Mjimwema (Kigamboni)
Posho ni 5000 kwa siku kula mchana na usiku ni ofisini
Mengine zaidi tutaongea

Kwa Mawasiliano: 0659445718
 
Kuna dogo ndio kazi zake na anaish uko sijui yupo hewani mahana tcra walifany yao

We jaribu kumcheki tu, kama akipatikana we na akiwa anaweza haya ninayoyahitaji basi haina tabu.
 
Labda member wa JF akuunganishe na kijana ambae hayupo JF

ila member wa JF aje kuuza chipsi posho 5000 tena kigamboni

ni mashujaa tu na watafutaji wa maisha haswa ambao sijawaona JF.

wapo ila wakutafuta na torch na huwaoni kwenye comment wapo PM tu.
 
Ukipata kijana huyo kutoka humu JF njoo PM nikupe 20,000 bure

vijana wa JF wengi ni wavivu,wachagua kazi,wanataka kazi ambazo

hazitawaweka mbali na JF hawako tayari kupotea JF wanataka kazi

ambazo anafanya kidogo,JF kidogo mwendo huo huo ki ufupi wachagua kazi.

Kuna kipindi niliona baadhi ya watu wanatafuta hata hizi kazi!

Ila kuna watu kama wawili washaulizia!!
 
Labda member wa JF akuunganishe na kijana ambae hayupo JF

ila member wa JF aje kuuza chipsi posho 5000 tena kigamboni

ni mashujaa tu na watafaji wa maisha haswa ambao sijawaona JF.

wapo ila wakutafuta na torch na huwaoni kwenye comment wapo PM tu.

Hii ya kunichekia mtu mtaani huko ndio niliolenga!

Ila mpaka sasa wapo kama wawili wameulizia.
 
Ukipata kijana huyo kutoka humu JF njoo PM nikupe 20,000 bure

vijana wa JF wengi ni wavivu,wachagua kazi,wanataka kazi ambazo

hazitawaweka mbali na JF hawako tayari kupotea JF wanataka kazi

ambazo anafanya kidogo,JF kidogo mwendo huo huo ki ufupi wachagua kazi.
Kiongozi mbona mimi hua nafanya tu.. nishapiga kazi za mifugo sana tu.
 
Mkuu kama hiyo nafasi ipo nichukue nije nipige kazi ila niko mbali huku mkoani..
 
Mkuu kama hiyo nafasi ipo nichukue nije nipige kazi ila niko mbali huku mkoani..

Umbali ni tatizo kidogo! Ila mpaka j3 nitakuwa na jawabu kamili mzee tutawasiliana kiongozi.
 
Ndugu zanguni anahitajika kijana wa kuuza chipsi mwenye kuweza kutoa sahani zaidi ya 20 kwa ndoo moja.
Eneo ni Mjimwema (Kigamboni)
Posho ni 5000 kwa siku kula mchana na usiku ni ofisini
Mengine zaidi tutaongea

Kwa Mawasiliano: 0659445718
Atakuwa anafanya nenda rudi au atalala hapo hapo.
 
Back
Top Bottom