Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,621
- 128,119
Akifikia huko sijui ndio itakuwaje. Ila mumy kuna wazazi ni changamoto aisee.Hapo hajaumwa maututi.
Akifikia huko sijui ndio itakuwaje. Ila mumy kuna wazazi ni changamoto aisee.Hapo hajaumwa maututi.
Ndio wazazi wa mwendo kasi hao dada ake na huyo hashindwi kuvua nguo mbele ya mwanae mana hajithamini.Aibu naona mimi huyo mama jaman ni mchafu sana halaf anachofanya si vizuri unampaje mtoto wako chupi akufulie kweli
Aibu naona mimi huyo mama jaman ni mchafu sana halaf anachofanya si vizuri unampaje mtoto wako chupi akufulie kweli
Aisee. Kweli dunia ina mambo. Kesho na kesho kutwa mwanae akifua za mkewe ataona mwanae ni mume bwege.
Vipo vya kusaidiwa ila sio hicho
Huo uzungu wa hivyo unipitie mbalia acha tu nibaki na uswahili wangu chupi yangu anaiona mume wangu tu ye ndio anaweza kufua kama nimezidiwa naumwa au vipiiNdio wazazi wa mwendo kasi hao dada ake na huyo hashindwi kuvua nguo mbele ya mwanae mana hajithamini.
Sijui ndio udhungu dada ake au si watanga ndio washamba.
Shamac acha tu inasikitisha sana na usikute huyo mtoto hapendi hana jinsi na kutukanwa atakua anatukanwa
Angekuepo baba mtoto angemfulisha hizo kufuli zake kweli.?
Ndo muamini single moms ni janga tena sio dogo.
" Excuse me mom where is my dad". !
Huwezi kuwa na maendeleo kama ww upo ktk mazingira ya uchafu...Maendeleo yanatupita tuko bize kujishughurisha na maisha ya watu.
Kwa tukio kama hili lazima linishughulishe tu BTW napiga mishe zangu wikend kama hivi nakua home so kinachokuwa tofauti lazima tuelezaneMaendeleo yanatupita tuko bize kujishughurisha na maisha ya watu.
Kwa baadhi yao ni majanga aisee mana mtu anafanya jambo hadi unajiuliza mara tatu hivi zinamtosha kweli.
Angekuepo baba mtoto angemfulisha hizo kufuli zake kweli.?
Ndo muamini single moms ni janga tena sio dogo.
" Excuse me mom where is my dad". !
Kweli kabisa dada ake. Haya mengine sie twaita matusi. Mana huko ni sawa na kujitusi.Huo uzungu wa hivyo unipitie mbalia acha tu nibaki na uswahili wangu chupi yangu anaiona mume wangu tu ye ndio anaweza kufua kama nimezidiwa naumwa au vipii
Uhuru wa namna hii ni wa kijinga..... MTAKUJA KUJIHISI HURU KUFANYA MAPENZI NA NDUGU ZENU WA DAMU KISA KILA MTU ANA UHURU WAKE...hapo mwisho
"mwanaume mashine"
kasagie mahindi.
ila mambo ya kupanga kinachonikera ni hiko tu
yani hata underware ikionekana baasi vyumba vyoote mnatomasana mjue kilichopo kwa mpangaji mwenzenu.
sasa ona huyu ni mwanaume umerusha hadi huku jf.
kila mtu anauhuru wake na ustaarabu wake ndio maana hii nnchi ni HURU.
Kwa baadhi yao ni majanga aisee mana mtu anafanya jambo hadi unajiuliza mara tatu hivi zinamtosha kweli.
AhahahaNadhani wanawake wanaofuliwa chupi hata humu wapo...aibu sana
Hatari sana hii kaka.
Wanasema uzungu dada.
Binafsi nilivyokuwa mkaidi umri kama huo utajiuliza mara mbili mbili kunituma tu nikakwanue kanga zako.
Hata kama mvua itanyesha, utakausha tu tena aisee jua lipo tu halikimbii.
Mdogo wangu huyo mama akili zake anazijua mwenyewe.Huyo mama naeee...tabia gani hizo
Hapo sasa....Mdogo wangu huyo mama akili zake anazijua mwenyewe.
Huwa najiuliza kuna haja gani kuvaa nguo za ndani na kuzikusanya ambapo mwisho wa siku mtu anashindwa kuzifua si bora kila akioga angefua moja moja kuliko hayo aliyoyafanya.