Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
- Thread starter
- #101
Sina asili ya uchaga kabisa.ukiwa na uchaga ndani yako[emoji125] [emoji125]
Mwanaume wa kinyamwezi mimi
Sina asili ya uchaga kabisa.ukiwa na uchaga ndani yako[emoji125] [emoji125]
Wachache watakuelewaWanawake ni source of failure
100% upo sahihi Mkuu.Sijui kama niko sahihi ila nadhani ulisoma course zisizo itaji msuli mkali kama za engineering.
makubwaaSina asili ya uchaga kabisa.
Mwanaume wa kinyamwezi mimi
Nataka uitwe Mke wa Bwana Matikiti.makubwaa
True.Huwez sema sana personal issue ilaa madem wana mambo ya ajabu
Fanya linalowezekana Mkuu.Hivi siku hizi ishu ni kulima matikiti heka kadhaa???
Revola ni nini Mkuu?Revola itakua inakuhusu.
Bora hiii.Wengine tunawababaisha wanawake
Mkuu hongera sana my guess was right na pia hongera kwa kutambua kuwa mwanaume halisi apaswi kubabaishwa na mwanamke maana hata the bible states in the book of:100% upo sahihi Mkuu.
Upo sahihiHongera Mimi siwezi kufanya kama ulivyofanya wewe lakini wanawake hawaniendeshi najipende mwenyewe sitaki nijikwaze I do what my brain told me
Nashukuru sana Mtumishi kwa kuambatanisha na rejeleo.Mkuu hongera sana my guess was right na pia hongera kwa kutambua kuwa mwanaume halisi apaswi kubabaishwa na mwanamke maana hata the bible states in the book of:
1CORITHIANS 11:9 "Neither was a man created for woman,but woman for man"
Sasa kama mwanaume utashindwa kusimamia maneno haya wewe hufai katika ufalme wa mungu.
Ubarikiwe mkuu kwa kusimamia misimamo ya kimbingu.
Uko darasa la ngp!Revola ni nini Mkuu?
Haswaa....Nashukuru sana Mtumishi kwa kuambatanisha na rejeleo.
Maisha ni Kanuni bila shaka