Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

Kwa hiyo haya mawaidha ni kwa ajili ya vijana wa 90s, kwamba wale wa 80s jua linawaka sana na wale wa 70s limeshazama?🤣🤣
Bwana Da vincci acha ukorofi!!!
Kijana wa kiume wa 80's kama hujaoa mpaka leo jua linawaka balaaa mbaya mbovu.
 
Mkuu mzee,
Mwanaume anaweza kufahamu kuwa mwanamke huyu yupo kwenye mahusiano ila akaendelea kutumia ushawishi na kulazimisha mpaka akampata.
Kama unavyosema wanaume in nature hatuwezi kuwa na mwanamke mmoja na sisi ni wadhaifu katika viungo vyao, basi hapana tofauti na mwanamke kuwa dhaifu katika material things.

si ajabu mwanaume kutoka mwanza akamfata mwanamke dar es salaam kwa sababu tu ya kufanya mapenzi.

Untaka kusemq hujui matatzo mengi kwa 98% tunasababisha sisi wanaume?
Basi umeoa malaya
 
Na wanaopata kazi mikoa mingine inawabidi wahame manyumbani na kuanza maisha huko waendako?
 
Binti akiishi mwenyewe bila muongozo kupotea ni rahisi sana,na changamoto za mahusiano zimekuwa nyingi kwa sababu uoaji wa hovyo umekithiri vijana wanaoa wavuta shisha,wapigwa three some wadangaji etc bila kujua.

Binti akiwa chini ya familia hawezi kukaa nje ya nyumba mpaka saa nne usiku but akiwa na ghetto lake atakesha mpaka asubuhi sasa huko kukesha ndiko atavutishwa bangi,unga kunywa pombe kali na takataka nyengine akifika umri wa ku-settle akikutana na kijana innocent anamuektia utulivu akiingia ndoani ndipo mume anagundua kumbe alioa teja,levi na mal.aya.

Mimi hata nilikuwa sijui wala sijawahi kuwaza kama nao kuna watu huwa wanawaoa
 
Ndio wanakua mabro wale bdoto zao kuoa wazungu wqzee
Hawa sijui niwaweke group la maloser mkuu kijana mwenye 35 ni muhimu akawa tayari ana mama ndani....una miaka 30 hutaki kuoa unataka uzae mtoto alelewe malezi yapi???
 
Afu doctor mm siko hivo kabisa. Achana na utundu wangu wa hapa jukwaani. Fungua pm tuyajenge.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa issue ya kunichukua kutoka nyumbani itakuwaje? Maana nimeanza kukaa mwenyewe tangu high school.

Au nirudi kwa muda....???🙄
 
Back
Top Bottom