Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,527
- 37,943
Tukaibe ikulu mkuu ile sofa yake nzur sana
Sasa linalozitoa ni mburula wasimamizi watakuwa na akili? Haya mambo si yalilalamikiwa na Ndugai hii ya kutoa fedha kwa vikundi sasa imekuwaje tena? Ina maana hela za Rais zinatolewa kwa mtu mmoja mmoja?Nadhani watoa huo mkopo hawana weredi na kazi yao maana mkopo wa kikundi lazima wanakikundi waweke sahihi na kuwe na watu zaidi ya wawili kuchukua mkopo
Ndo nimeshangaa hili tukioSasa linalozitoa ni mburula wasimamizi watakuwa na akili? Haya mambo si yalilalamikiwa na Ndugai hii ya kutoa fedha kwa vikundi sasa imekuwaje tena? Ina maana hela za Rais zinatolewa kwa mtu mmoja mmoja?
Hapo ndo nashindwa kushangaa angeenda kutamba nazo mbele uko....tatizo hakuwa na plan b baada ya kufanikiwayaani wabongo ni waoga wa kuanza maisha mapya, asa umesha wakwapua 15m. unabaki moro kufanya nini
nenda zako mbeya, sumbawanga, katavi fanya biashara ya mazao, samaki, mitumba.
acha kuwasiliana na ulio waorodhesha kwenye mkopo ukifanikiwa kila la kheli ikibuma bora ulijaribu