PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,541
Reaction score
916
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu

Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza hasira baadaye wakagundua nilikuwa sahihi

Mfano nilipokosoa Kanisa la Ufufuo na Uzima pale lilipotuhumu Jeshi la Polisi lakini baada ya Kanisa kusoma andiko langu wakajirekebisha na kurudi na malalamiko yaliyohusisha upotevu wa mali na fedha za Kanisa, malalamiko ambayo hayakudhalilisha tena Jeshi la Polisi

Kwahiyo pamoja na Ukaidi walionao watu bado wanaweza kupona

Tutazidi kukabana koo hivi hivi na kuchaniana mashati mpaka pale wasomaji watakapogundua kuwa makosa ni ya kuachana nayo

Jambo kubwa lililonigusa sana ni kuhusiana na mipango ya vijana juu ya maswala ya siasa

Mipango ambayo imekuwa ikilenga maandamano na mambo mengi ya kisiasa na hata yale yanayovunja utu

Vijana wenzangu, ukweli mchungu ni kuwa Raisi yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa haondolewi madarakani kwa njia za kudhalilisha au kutweza utu wa binadamu

Sheria na Katiba ya Tanzania vimelaani matendo hayo tangu enzi za Mwl Nyerere

Matendo hayo yamebainishwa kama kufuru kwa nchi ya Tanzania

Wananchi wa Tanzania pamoja na Serikali yake waliwekeana kiapo hicho na kukubaliana Kikatiba tangu enzi za Mwl Nyerere

Kwahiyo, endapo utafanya makosa hayo utakuwa umevunja maagano pamoja na makubaliano ya Kikatiba na Kisheria Tanzania iliyowekeana na Wananchi wake tangu Mwezi wa tatu, tarehe 16 mwaka 1977

Ushauri wangu, sitakuchagulia, utajiongeza mwenyewe lakini lolote lile litakalokupata utalazimika kujilaumu mwenyewe kulingana na maamuzi yako

Matatizo ya Tanzania yanawezakutatuliwa kwa njia za kistaarabu na utulivu

Serikali inaweza kuwaponya Wananchi wake lakini na Wananchi wanaweza kuiponya Serikali yao kwa njia za busara

Matatizo ya Tanzania yanaumiza pande zote mbili Wananchi na Serikali yake

Wananchi wanapotaabika basi Serikali inatawaliwa na malalamiko yasiyoisha hata kupelekea kukosa amani

Vilevile Serikali inapotaabika basi Wananchi wanakosa huduma bora, taabu zinakuwa nyingi kwa Wananchi

Kwahiyo ni matatizo yanayogusa pande zote mbili ndiyo sababu watu wenye busara hawaoni lawama na visasi kama njia bora za kutatua matatizo ya nchi
 
Ila yeye akidhalilisha utu wa watu wengine ni sawa tu? Punguza uchawa.
Huwa matatizo ya Serikali yanaiumiza pia, ndiyo sababu Serikali zote duniani huwa zinajutia makosa yake. Kwasababu ni mamlaka huwa hazipendi kuonyesha udhaifu
 
Kwani wananchi wamekurupuka tu kuandamana
Hayo maswala ya utekaji, ubambikizianaji wa kesi, mauaji, na wizi wa kura watu wameyapinga sana for long but no changes
What else do you think watu watafanya
Kwa matatizo kama haya njia nzuri ni kuandaliwa mjadala wa Kitaifa kati ya Wananchi na Serikali yake ili wajadili matatizo ya nchi na kuwekeana makubaliano
 
Huna hoja ya msingi. Wewe ujielewi tu upo upande gan ssm au wapambanaji
Nipo upande wa Katiba na Sheria, niliyoyaona Kikatiba na Kisheria ndiyo nitakayoyazungumza
 
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu

Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza hasira baadaye wakagundua nilikuwa sahihi

Mfano nilipokosoa Kanisa la Ufufuo na Uzima pale lilipotuhumu Jeshi la Polisi lakini baada ya Kanisa kusoma andiko langu wakajirekebisha na kurudi na malalamiko yaliyohusisha upotevu wa mali na fedha za Kanisa, malalamiko ambayo hayakudhalilisha tena Jeshi la Polisi

Kwahiyo pamoja na Ukaidi walionao watu bado wanaweza kupona

Tutazidi kukabana koo hivi hivi na kuchaniana mashati mpaka pale wasomaji watakapogundua kuwa makosa ni ya kuachana nayo

Jambo kubwa lililonigusa sana ni kuhusiana na mipango ya vijana juu ya maswala ya siasa

Mipango ambayo imekuwa ikilenga maandamano na mambo mengi ya kisiasa na hata yale yanayovunja utu

Vijana wenzangu, ukweli mchungu ni kuwa Raisi yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa haondolewi madarakani kwa njia za kudhalilisha au kutweza utu wa binadamu

Sheria na Katiba ya Tanzania vimelaani matendo hayo tangu enzi za Mwl Nyerere

Matendo hayo yamebainishwa kama kufuru kwa nchi ya Tanzania

Wananchi wa Tanzania pamoja na Serikali yake waliwekeana kiapo hicho na kukubaliana Kikatiba tangu enzi za Mwl Nyerere

Kwahiyo, endapo utafanya makosa hayo utakuwa umevunja maagano pamoja na makubaliano ya Kikatiba na Kisheria Tanzania iliyowekeana na Wananchi wake tangu Mwezi wa tatu, tarehe 16 mwaka 1977

Ushauri wangu, sitakuchagulia, utajiongeza mwenyewe lakini lolote lile litakalokupata utalazimika kujilaumu mwenyewe kulingana na maamuzi yako

Matatizo ya Tanzania yanawezakutatuliwa kwa njia za kistaarabu na utulivu

Serikali inaweza kuwaponya Wananchi wake lakini na Wananchi wanaweza kuiponya Serikali yao kwa njia za busara

Matatizo ya Tanzania yanaumiza pande zote mbili Wananchi na Serikali yake

Wananchi wanapotaabika basi Serikali inatawaliwa na malalamiko yasiyoisha hata kupelekea kukosa amani

Vilevile Serikali inapotaabika basi Wananchi wanakosa huduma bora, taabu zinakuwa nyingi kwa Wananchi

Kwahiyo ni matatizo yanayogusa pande zote mbili ndiyo sababu watu wenye busara hawaoni lawama na visasi kama njia bora za kutatua matatizo ya nchi
Pumbavu Mkubwa, unaijua Katiba? Je wajua Katiba unataka Maandamano kama Haki ??.

Katiba inaruhusu Utekaji? Mauaji? Ufisadi? Uonevu? Ubinywaji wa HAKI za watu? Demokrasia? Kesi za uongo? Ufujaji Rasilimali ?.

Kenge wewe !!.

Dec 9 tukutane , simnabunduki??.
 
Kwani wananchi wamekurupuka tu kuandamana
Hayo maswala ya utekaji, ubambikizianaji wa kesi, mauaji, na wizi wa kura watu wameyapinga sana for long but no changes
What else do you think watu watafanya
Walikurupuka ndiyo maana waliuliwa kama kuku...wewe ushawahi ona wapi watu wanaandamana wanachoma Mali za watu? Wanakata vidole watu?

Kile kitendo kinatafsirika kama wizi na uvunjifu wa amani...kuna div. iv mmoja anasema ni haki kuandamana kikatiba lakini bado hajui utaratibu wa maandamano kisheria ....toa taarifa jeshi la polisi upate kibali jeshi likulinde.

Sasa wewe unatoka na madumu ya petroli unachoma miundombinu unadhani Samia anapanda mwendokasi? Unataka mpaka kuchoma stendi ya Magufuli bila jeshi kuilinda mapema ingeenda na maji, halafu unataka polisi au serikali ikukenulie meno? Stupid

Mwisho nimeona wale wale walioshika remote nje ya mipaka yetu wanaratibu tena maandamano mengine tarehe Tisa . Kijana mwenzangu usithubutu unadhani hawataua tena ? Watu wapo chini ya viapo kuilinda Jamhuri Kwa namna yoyote ile.hupendi Amani tafuta nchi nyingine unaweza kwenda hata hapo Congo au Sudan uishi kivurugu virugu.
 
Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu

Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza hasira baadaye wakagundua nilikuwa sahihi

Mfano nilipokosoa Kanisa la Ufufuo na Uzima pale lilipotuhumu Jeshi la Polisi lakini baada ya Kanisa kusoma andiko langu wakajirekebisha na kurudi na malalamiko yaliyohusisha upotevu wa mali na fedha za Kanisa, malalamiko ambayo hayakudhalilisha tena Jeshi la Polisi

Kwahiyo pamoja na Ukaidi walionao watu bado wanaweza kupona

Tutazidi kukabana koo hivi hivi na kuchaniana mashati mpaka pale wasomaji watakapogundua kuwa makosa ni ya kuachana nayo

Jambo kubwa lililonigusa sana ni kuhusiana na mipango ya vijana juu ya maswala ya siasa

Mipango ambayo imekuwa ikilenga maandamano na mambo mengi ya kisiasa na hata yale yanayovunja utu

Vijana wenzangu, ukweli mchungu ni kuwa Raisi yeyote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa haondolewi madarakani kwa njia za kudhalilisha au kutweza utu wa binadamu

Sheria na Katiba ya Tanzania vimelaani matendo hayo tangu enzi za Mwl Nyerere

Matendo hayo yamebainishwa kama kufuru kwa nchi ya Tanzania

Wananchi wa Tanzania pamoja na Serikali yake waliwekeana kiapo hicho na kukubaliana Kikatiba tangu enzi za Mwl Nyerere

Kwahiyo, endapo utafanya makosa hayo utakuwa umevunja maagano pamoja na makubaliano ya Kikatiba na Kisheria Tanzania iliyowekeana na Wananchi wake tangu Mwezi wa tatu, tarehe 16 mwaka 1977

Ushauri wangu, sitakuchagulia, utajiongeza mwenyewe lakini lolote lile litakalokupata utalazimika kujilaumu mwenyewe kulingana na maamuzi yako

Matatizo ya Tanzania yanawezakutatuliwa kwa njia za kistaarabu na utulivu

Serikali inaweza kuwaponya Wananchi wake lakini na Wananchi wanaweza kuiponya Serikali yao kwa njia za busara

Matatizo ya Tanzania yanaumiza pande zote mbili Wananchi na Serikali yake

Wananchi wanapotaabika basi Serikali inatawaliwa na malalamiko yasiyoisha hata kupelekea kukosa amani

Vilevile Serikali inapotaabika basi Wananchi wanakosa huduma bora, taabu zinakuwa nyingi kwa Wananchi

Kwahiyo ni matatizo yanayogusa pande zote mbili ndiyo sababu watu wenye busara hawaoni lawama na visasi kama njia bora za kutatua matatizo ya nchi
Kwa hiyo tuendelee kutekwa na huyo Samuya kama nyumbu, atuue na kutumaliza kwa sababu ana uwezo huo? Hapana hatukubali, akituumiza tena, tutaingia msituni halafu ndiyo mtatujua sisi ni akina nani. Hatuko tayari tena kutekwa, kubakwa, kulawitiwa, kuteswa na kuuawa. Huku siyo Zanzibar, hata kama tutakufa, tutakuwa tumekufa kwa kudai haki yetu ya msingi. Kwani hao watakao tuua wataishi milele? NAFUU KUISHI LEO KAMA SHUJAA KULIKO KUISHI MIAKA 100 KAMA MPUMBAVU. Tusingekuwa na akina Steve Biko, Giovanni Mbeki, Mandela, Sisulu na wengine wengi, Leo south Africa ingekuwa bado wanaonewa. Mwambie huyo Samia wako aache kuteka, aachie aliowateka, aache kuonea watu hasa watanganyika, aondoke huu uchaguzi haukuwa halali na mwisho aondoe hizo tume feki, na kuwajibisha wale wauaji waliouawa Watanganyika.TUNAANZA TARATIBU, MWISHO MSIJE MKAJUTA, MJIFUNZE KUTOKA KWA AKINA MUSOLINI NA HITLER, MJUE MWISHO WAO ULIKUWAJE?
 
Kabisa la ufufuo na uzima limekosea wapi, huwezi ondolewa nyumbani kwako na kuweka ulinzi halafu unapotejea ukute mlango haupo na ukapongeza kuwa walikuwa wanalinda vizuri.
Tutafute namna nzuri ya kushambulia tofauti na hapo tutapachikwa mabao
 
Ni kweli nchi tunapaswa kukiri makosa yetu na kuyasahihisha

Njia nzuri ni kupitia mjadala wa Kitaifa kati ya Wananchi na Serikali ili waweze kujadili changamoto za Taifa na kuwekeana makubaliano kwasababu nchi inataka matatizo yaishe na sio machafuko yaendelee
 
Kabisa la ufufuo na uzima limekosea wapi, huwezi ondolewa nyumbani kwako na kuweka ulinzi halafu unapotejea ukute mlango haupo na ukapongeza kuwa walikuwa wanalinda vizuri.
Tutafute namna nzuri ya kushambulia tofauti na hapo tutapachikwa mabao
Kanisa lilikosea kwasababu halikuwa na ushahidi kamili. Pamoja na kwamba Jeshi la Polisi lilikuwepo, aliyeiba alikuwa ni mwizi ambaye alipaswa kuthibitika baada ya uchunguzi kufanyika
Unaweza kushutumu kuwa mali ziliibiwa na Jeshi la Polisi kumbe mwizi alikuwa mwingine
 
Nitafsiri vyovyote utakavyo ila ukitoka siku hiyo mamaako asianze kutusumbua sijui maiti yako ipo wapi? Vijana mnawaachia sukari na pressure juu wazazi wenu acheni uvivu fanyeni kazi hakuna Rais atakuletea mkate nyumbani kwako.
Wazazi wana presha sana nyakati hizi, hawana amani na vijana kwasababu wanahofia matokeo ya maamuzi ya vijana wao
 
Back
Top Bottom