Kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama

Ndoto au njaa kali hapo,

Nilitegemea bandiko lieleze kijana mwenye ndoto lazima awe na plan

Plana ambayo amei-dissect mwanzo hadi mwisho na kaweka deadlines ya mambo yake ili kum-pressurize ahitimishe jukumu lake mapema

Nimefurahi sana

Maisha yana plan boss

Unaleta siasa katika maisha haswa street life
 
Hii ni kweli kabisa kama ukiwa na malengo na uoga wa kuendelea kulala chini au kupanga nilitoka kwa wazazi na kupanga chumba huku nikiazia kununua godoro la 7*6*12 na kuliweka chini then kitanda na vitu vingine baada ya miaka 7 nikajenga na kuamia kwangu huku hiyo nyumba ikiwa unfinished house kwa zaidi ya 60 ikiwa bado


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom