Kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama

Nimefurahi sana

Maisha yana plan boss

Unaleta siasa katika maisha haswa street life
Kama hauna plana na maisha ni wewe peke yako na baki na ujinga wako hulazimishwi

Hapa unafikiri naongelea plan ipi ya kugonga mademu au?

Ni mpumbavu pekee kwa dunia ya sasa anafanya kitu bila kukiplan before

Lazima uplan na uwe na malengo ya muda mfupi kati na mrefu

Kwa mfano unataka kuendesha maisha yako kwa kilimo namaanisha unataka uwe mkulima mkubwa

Lazima kwanza uanze kidogo kidogo lakini lengo ni kufika pakubwa sasa kwa mwenye akili ataandika chini na atafanya kazi kupitia kwenye mpango kazi wake

Sio lazima afaulu lakini kwa kufanya hivyo anakuwa anajua anatoka wapi au anaenda wapi.
 
Usifikiri hyo slogan inaweza kufanya kazi pote..na wengi wamedumbukia kwenye ufukara kwa kukurupuka kama hyo picha yako...unaweza ukafanya hvyo lakn kama huna vision utabaki hvohvo na utamove gradualy sana kwa sababu mwisho wa sku utajikuta umeoa na hapo ndo utaanza kuchezea vitasa vya maisha
Mi nilijiwekea deadline ya kutoka kwa mama nikiwa nimekamilisha Million 7 mfukon, skutaka hata kupanga nillitafta mtu mjini mwenye eneo nikamwambia nipatie eneo la laki mbili..jamaa alinipimia eneo dogo kinyama la kutosha room moja tu , hapo hapo nikajenga room moja self nikapaua nikaweka na umeme nikavuta na maji...nikahamia hapo...ndo nikaanza harakati zangu za mtaa, hakuna kodi ya nyimba mbaba
 
Hapo huanzi maisha upo kifungoni,ukimuonyesha mzazi wako unapolala ataanza kupiga mayowe ....mwanangu yuko jela!!
😂😂😂😂😂😂😂Acha kuwatia hofu vijana aisee! Utasemaje kwa mtu ambaye kwao alipotoka walikuwa wanalalia ngozi sakafuni au vitanda vya kamba za magome ya miti? Kwa hao hiyo ni hatua mbele.
 
Usifikiri hyo slogan inaweza kufanya kazi pote..na wengi wamedumbukia kwenye ufukara kwa kukurupuka kama hyo picha yako...unaweza ukafanya hvyo lakn kama huna vision utabaki hvohvo na utamove gradualy sana kwa sababu mwisho wa sku utajikuta umeoa na hapo ndo utaanza kuchezea vitasa vya maisha
Mi nilijiwekea deadline ya kutoka kwa mama nikiwa nimekamilisha Million 7 mfukon, skutaka hata kupanga nillitafta mtu mjini mwenye eneo nikamwambia nipatie eneo la laki mbili..jamaa alinipimia eneo dogo kinyama la kutosha room moja tu , hapo hapo nikajenga room moja self nikapaua nikaweka na umeme nikavuta na maji...nikahamia hapo...ndo nikaanza harakati zangu za mtaa, hakuna kodi ya nyimba mbaba
Na huo ndo ukweli.. Kama huko wanapokuita kwa mama kuna nafasi na wala hawaonyeshi wamekuchoka ni vema ujipange ukitoka uhamie kwako hata kama ni room moja tu utajenga..

Kudos to u, vijana wasikaririshwe eti lazima ukimbie kwenu ukapange ndo utaonekana unajitambua
 
Hoja siyo kuondoka nyumbani kwenu na kwenda kulianzisha mitaani. Hoja inakuja :Utaondoka katika umri gani? Mleta uzi ameonesha njia mojawapo. Kwamba si lazima uanze ukiwa na mali nyingi au ujenge nyumba kabisa kama mchangiaji yule wa awali. Ni suala la kuwa na uthubutu tu.
 
Huo ndio ukweli kijana mwenye Ndoto anaanzia hapa we endelea kukaa kwa mama,

Huwezi kuwa juu bila kutoka chini, uoga wa kuogopa kujitegemea siyo jibu la matatizo yako,

View attachment 1057359

CC Zero IQ
Yaaan kijana anaeanza maisha aende akapange chumba kikali kama hicho full tiles, madirisha ya vioo, gheto kali, alafu alale chini na kagodoro kadogo, hapo imefeli mbayaaaaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo room ni arusha au moshi dar huwezi pangisha room nzuri kiasi hicho na bado wew mwenywe kengee tu huna mbele wala nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wapi pameandikwa kwamb pale ni dar mkuu, na wapi pameandikwa kwamba ni pale ni Room yangu?

Soma content ya uzi ndio uje ukoment

Cc Zero IQ
 
Back
Top Bottom