Rungwe88
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 307
- 610
Nitaandika kwa kifupi sana hii mada.
Kuna vijana wanajitafuta kutoka kiuchumi ili kukizi mahitaji muhimu kama chakula, malazi(nyumba), na mavazi kwake binafsi, familia, ndugu n k.
Sasa yameongezeka mahitaji muhimu mengine kama gari, simu za gharama n.k
Sasa kijana mpambanaji hakuna kazi, Biashara, mradi n.k kinachoweza kukufanya kumudu maisha au kua tajiri zaidi ya kile unachopenda kufanya.
Kuna watu wanasema Kuna Biashara ile, kazi hii, mradi fulani n.k ukifanya ndio utafanikiwa kimaisha.
Ukweli ni kwamba Kuna asilimia kubwa kufanikiwa kimaisha, kipesa n.k ukifanya kitu unachopenda kwa ufanisi na ubora wa Hali ya juu kuliko watu wengine mnaofanya kitu Cha aina moja.
Mfano kama wewe ni daktari basi kuwa daktari Bora kuliko wengine, vivo hivyo kwa mkulima, mwanamichezo, msanii, mhandisi, mfanyabiashara, betting n.k jifunze kitu unachopenda kila siku kwa adabu, akili, nguvu, nidhamu, ujasiri n.k
Mafanikio yako, yapo mikononi mwako.
Asante