Na mie hili tangazo nimekuta nalo, naamini atampata tu na amefanya jambo la maana.Hello
Kuna kijana ametokea Uganda, amekuja kumtafta baba yake jina Daniel Albinus Magige. Alikuwa askari wa jtwz, amestaafu, lakini aliwahi kufika uganda kwa shughuli za kazi.
Kwa maelezo ya mama yake, baba yake alimtajia kuwa ni mkaazi wa Magu mkoa wa mwanza.
Mtu yeyote ambaye anaweza kuwa na taarifa kumhusu mtu huyo, awasiliane kwa namba 0686457363 au 0652031489
Kwa hyo baba yake yupo humu jfLakini ameanzia pande hizi anazoamini ndipo baba yake alipo
Ha ha ha wewe jamaa hatari sana. Si ametoa tangazo? Hivi unajua kwa siku JF inatembelewa na watu zaidi ya 50k? Unadhani hadi wiki inaisha, jf itakuwa imetembelewa na wangapi?Kwa hyo baba yake yupo humu jf
Jf haina watumiaji wengi kama unavyojidanganya! Fanya utafiti hapo ulipo ni wangapi wanaijua jamiforumsHa ha ha wewe jamaa hatari sana. Si ametoa tangazo? Hivi unajua kwa siku JF inatembelewa na watu zaidi ya 50k? Unadhani hadi wiki inaisha, jf itakuwa imetembelewa na wangapi?
Watoto wa mtu huyo wakiona, si watamtafta ndugu yao? Je ndugu jamaa na marafiki? Usiwe negative kiasi hicho, mpe ushirikiano ampate baba yake au ndugu yake
Kila search unayoifanya kwa kutumia google, kama ni swali la kiswahili, litakupeleka jf. Kuna registered user na guests.Jf haina watumiaji wengi kama unavyojidanganya! Fanya utafiti hapo ulipo ni wangapi wanaijua jamiforums
Sasa hao watu 1600 kwa watu zaidi ya milioni 45 mbona ni tone katika bahari! Me bado napingana na wewe unavosema kwamba jamiiforums ina watumiaji wengi! Hivi umepita facebook na whatsapp kuangalia watumiaji wake? Zungusha kwenye magroup ya whatsapp huko! Halafu mtu mwenyewe alikuwa mwanajeshi nenda jeshini utapata taarifa zake ila uwe umejiandaa kwa lolote!Kila search unayoifanya kwa kutumia google, kama ni swali la kiswahili, litakupeleka jf. Kuna registered user na guests.
Angalia, muda huu waliopo online ni 1600+, na post hii imeonwa na watu 340+, na ndani ya 24hrs itazidi hapo.
Jf ina registered membe zaidi ya 400k. Siyo jukwaa dogo hili mkuu.
Mi naamini taarifa zitafika mbali ndani ya muda mfupi.
Usihisi wewe una kitu cha ajabu kuijua jf wengine hawawezi.View attachment 761738
Duuuh, sawa buana. Nimekubaliana na weweSasa hao watu 1600 kwa watu zaidi ya milioni 45 mbona ni tone katika bahari! Me bado napingana na wewe unavosema kwamba jamiiforums ina watumiaji wengi! Hivi umepita facebook na whatsapp kuangalia watumiaji wake? Zungusha kwenye magroup ya whatsapp huko! Halafu mtu mwenyewe alikuwa mwanajeshi nenda jeshini utapata taarifa zake ila uwe umejiandaa kwa lolote!
Chunguza kila mwenye smartphone lazima ana whatsapp messenger na baadhi facebook lakini sio kila mwenye smartphone anatumia jamiiforums app,usijidanganye eti watumiaji ni wengi.Duuuh, sawa buana. Nimekubaliana na wewe
Taarifa njema ni kuwa, tayari amepatikana mtu ambaye alikuwa kozi moja na baba wa kijana huko uganda, ila amesema anakaa kiabakari na familia yake. Hivyo maendeleo ni mazuriChunguza kila mwenye smartphone lazima ana whatsapp messenger na baadhi facebook lakini sio kila mwenye smartphone anatumia jamiiforums app,usijidanganye eti watumiaji ni wengi.
Wachache sanaaa!! Hebu nenda instagram mtu kaweka video ya nandy na billnass ila viewers 20,000Mkuu, viewers 640 ni wachache?View attachment 763273
Ahisi baba yake ni member wa JF?Lakini ameanzia pande hizi anazoamini ndipo baba yake alipo
Kule kuna wajinga tu siyo wenye akili. Hii hbr siyo ya udaku, haiwezi kuwa na viewers kibao.Wachache sanaaa!! Hebu nenda instagram mtu kaweka video ya nandy na billnass ila viewers 20,000