Kijana kinauzwa.

Mshaanzisha soko la watumwa JF?
 
Hayuko serious kbs uyo mtu afu sidhan Kama Mbezi Beach anahifaham vizur Jk Nyerere school na Tangbovu Lutheran church wap na wap? kichwa cha habar na habar yenyewe shingongo type.Wiz Mtupu
 
Hahahahhaha!!! Leo nimecheka sana na nlvosoma comment za wengine ndo kabisaa!!! Kijana kinauzwa?? Hahahah mbav zang
 
kijana? Haiyer kijana gan tena anaeuzwa? Itabid ukaisaidie police utuambie kijana anaeuzwa..teh
 

.......
Hivi kiwanja kinapimwa kwa cubic metre?????......
 
.........
Yaani ni hatari ... uref x upana x kimo.....hapo kwenye kimo ( h) sijui kaipataje I can't imagine..... nimecheka hadi nikalia.....
Cubic metre 387, meter 20 kwa 16
Maana yake 16m*20m*1.209m=387m^3 yaani kimechimbwa 1.209m
 
Jamaa kaingia mitini kabisa hataki hata kurudi tena,cubic metre duh
 
kanjanja hili hahaha kijana kinauzwa na cubic metre hahaha
 
Hii k2 inachekesha sana jaman ! Siwez kuacha kusoma hasa iyo heading na apo kwenye cubic meter.
 

si mchezo. Umetisha mkuu. Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…