Kijana kawa fired | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kijana kawa fired

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Sangarara, Oct 10, 2011.

 1. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Watanzania tunalalamika sana inapokuja kwenye swala la soko la ajira,
  nashukuru jamvi hili limetoa kipaumbele kikubwa kabisa kwenye swala
  la kupashana habari juu ya nafasi za kazi mbali mbali.

  lakini wakati haya yanafanyika kuna vijana huku wanacheza na kazi kweli kweli.
  kuna huyu kijana alipata kazi hapa ofisini kwetu kama mwezi na nusu sasa, kijana
  inaonekana kasota mtaani anatafuta kazi kwa zaidi ya mwaka mmoja.

  ile kuanza kazi tu, baada ya wiki moja, siku moja hakutokea kazini bila taarifa yoyote,
  akipigiwa simu hapokei, akaja baada ya siku mbili na excuse kwamba alikuwa na family
  issues, tukamchunia, karudia tena last week, kaacha tu kuja kazini, hakutoa taarifa si kwa
  supervisor wake wala kwa rafiki yake kazini, three days kimya, akipigiwa simu hapokei,
  siku ya nne kaja akakimbilia kuomba ruhusa HR hapo hapo akawafired.

  Naomba tuwe na nidhamu ya kazi basi japo kidogo jamani
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Kweli Maisha ni zaidi ya shule. Au Maslahi hapo ni madogo alikuwa anatafuta chaka jipya?
   
 3. K

  Koola Member

  #3
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hahui sheria za ajira.Ukikosa kazini siku tano mfululizo umejifukuzisha mwenyewe.Tuwe makini na kazi kwani sasa hivi soko la ajira halifai.Wapo vijana wengi wenye sifa lakini kazi hakuna.
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,163
  Trophy Points: 280
  Hayo ndio matatizo yetu Tanzania, wengi hatuthamini kazi kwa ajili ya kuleana. Utakuta mtu kishaota mvi (za ukubwa si za ukoo) lakini bado analelewa. Bila ya kubadili msimamo na kuwalea watoto zetu kuwa "independent" hayatokwisha haya, we are too "dependent" na ndio maana kila siku hatuishi kuilalamikia Serikali, haijfanya hivi haijafanya vile, its all in our heads. We need to change we do not need a change.
   
 5. Kingo

  Kingo JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2011
  Joined: May 12, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 60
  Duh!! Basi bwana kufa kufaana, mi naomba hiyo position yake, nichape kazi mpaka kieleweke Mkuu.
   
 6. A

  AZIMIO Senior Member

  #6
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa mara ya kwanza leo umekwa point.BIG UP.
   
 7. UKWELIWANGU

  UKWELIWANGU Member

  #7
  Oct 10, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  kweli bwana wachapakaji halisi tupo so tuite tuje tupige mzige
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Watanzania kwenye suala la ajira huwa tunakuwa na so many excuses sijui shangazi mgonjwa mara mtoto wa baba mkubwa anaumwa nimeambiwa nimpeleke hospitali
   
 9. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ka umeshindwa kabisa CHEZEA MSHAHARA LAKINI SIO KAZI
   
 10. k

  kulwadoto Member

  #10
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri mzuri sana big up sista ff!!
   
 11. e

  ezelogz New Member

  #11
  Oct 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwache arudi kitaa achapike ndio atakuwa na adabu tena
   
 12. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  You have stolen my thunder mkuu.FF naona leo kaamka vizuri,ningeweza hata kumgongea thanks ila mods wameondosha tena kitufe cha thanks.
   
 13. S

  Sanga n. Member

  #13
  Oct 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli ki2 hiki kinaumiza sana, wakati wengine 2kiwa busy na utafutaji wa kaz, wengine wanatengeza mazingira ya wa2 kukosa kaz.
  Infact kijana huyo anaweza kuwatia nuksi wenzake waliosoma pamoja chuo, maana muda mwingine waajiri hutumia experience, hivyo anaweza kuwa na NEGATV ATTITUDE na wengine kutokana na generalization. tuwe makni 2napopata ofic ili 2peperushe vema bendera ya VIJANA.
   
 14. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #14
  Oct 10, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kazi ukiwanayo... mbaya!!
   
 15. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,655
  Trophy Points: 280
  Dah, huyo mwana nazani ufahamu wake unaenda in descending order unless kama kuna sehemu alishapata! Wenzake tulikuwa tunapiga ndela skonga; yeye mzigoni?! Nakumbuka tangu O-Level hadi Versity; nilikuwa mtu wa kuingia chimbo kishenzi kiasi kwamba mtu anayenifahamu kutokea huko hawezi amini kwamba cku hzi mi ndo wa kwanza kufika mzigoni, na wa mwisho mwisho kuondoka!!! YEYE anaenda kinyume chake?! Hapana, itakuwa kapata sehemu huyo, lakini angekua mjanja angetoa unquestionable excuse hapo job kisha akatumia hiyo excuse kwenda kupima upepo wa huko aendako!
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Oct 11, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  uko sawa kabisa. interpretation ya haraka haraka ni kwamba, wote wanaotoka kwenye hicho chuo
  watakua wanaonekana wamebeba similar characters
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Oct 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Na mtu wa aina hii anaweza kwenda kwa mganga...na mganga akimwambia kuna mtu anamfanyia majungu anaamini...
   
 18. i

  irene 87 New Member

  #18
  Oct 11, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me navyotafuta kazi alafu yeye anachezea hana akili kweli huyo
   
Loading...