Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Wajamaika wabayaaaaa
Mkuu Msandawe Halisi
Binafsi ni big NO....hawezi kuwa rafiki wala mpenzi wangu. Sababu moja tu, "NDEGE WAFANANAO HURUKA PAMOJA" ...
Mbona mababu na mabibi zetu walikuwa wanavaa vibwaya kama wale 'bushmen' wa jangwa la kalahari, Namibia wakizuia sehemu nyetti tu. Ni suala la mtazamo na mabadiliko ya kizazi tu, tunakoelekea itafika siku tu jamii itawakubali tu.
Ilianza mipasuo, vimini, vichupi, vibana mavi, kata 'K' kelele zilikuwa miiingi sana, watu dawa ikawa inawaingia taratiibu mpaka wakatulia , sasa hivi watu wanatinga navyo mpaka kwenye daladala, mtasomeka tu.
Nawewe ni mmoja Wao?