Kijana, don't settle with your agemate

Biology don't negotiate with feminism
 
Natafuta Ajira Ulichoniambatabisha hapo juu nani asiyekijua?

Na hukuona kuwa nimeongeza kwenye hilo, didn’t i mention that biology isn’t the only reason huh?
Sababu yoyote utakayoifanyia ulinganisho. Hili mzani uweze kubalance ni lazima mwanaume awe amemzidi mwanamke kwa mbali kidogo
 
Mimi kwenye gallery yangu sina picha ya serena gomez wala ya criss akiwa kama teja ambazo wewe unataka zitumike kama reference. Ndio maana nikasema zilete wewe. Kipi ambacho haujaelewa?
Nimeelewa, nilikuwa nakwambia kuwa umetemper na vielelezo bwana shemeji!! Umechagua vielelezo vya kufavor mada yako.

Anyways sio big deal, mada ya leo haujapingwa hata kidogo nakuona unavyosherehekea 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…