Kijana Ben

Hakika watu wengi hupenda kuiga maisha ya film,hadithi,nk lakn kiukweli maisha sio ya kukopy kama unavyo zania
 
Hakika watu wengi hupenda kuiga maisha ya film,hadithi,nk lakn kiukweli maisha sio ya kukopy kama unavyo zania
Unajua maisha yako very simple but we are very good in complicating it.
 
Huyu ben mnahusianaje? Nampigia Kigwangala vere suni.
Nikiitwa nakausha kama mbowe.
Au natafuta wanasheria 8 . 6 wa kigeni 2 wa kigoma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanambwembwe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nikiitwa nakausha kama mbowe.
Au natafuta wanasheria 8 . 6 wa kigeni 2 wa kigoma. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wanambwembwe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Naomba niwe mmoja wa wanasheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…