Kijana asimulia jinsi Mchina alivyomtupa kwenye banda la mbwa, kisha mbwa mmoja kumuokoa

aaaah unasema nyuma ya keyboard yako tu kwanza ajira zilivyo ngumu hawawezi kumsaidia kwa kuogopa kukosa ajira
hawawez kumsaidia kushtaki hii si mara ya kwanza kuna mwingine tena hadi mwigulu alimuendea front wananyanyaswa haswa na si wachina tu hata watanzania wapo wanaonyanyasa sana wafanyakazi wao

Ujinga wa aina hiyo hauwezi kupita mbele yangu hivi hivi ndugu! Ufala wa aina hiyo hauvumiliki. Ajira haiko sehemu mmoja tu na kunyamazia tabia hiyo leo kwa mwingine kesho kwako! Ingekuwa enzi ya ukoloni sawa na bado babu zetu maeneo mbalimbali walipinga kadri walivyoweza!
 
UNAJIFANYA TU WALA HUJIELEWI
 
Back
Top Bottom