Kijana asimulia jinsi Mchina alivyomtupa kwenye banda la mbwa, kisha mbwa mmoja kumuokoa

Kweli mijitu mingine mijinga kweli kweli!
Walimfanya nini huyo Mchina??
Kila raia ni mlinzi wa Usalama wa binadamu yeyote! Mchina alifaa afikishwe kitu cha Polisi mzobezobe! Acheni Ujinga na tukiendelea hivi utumwa nje nje! Washenzi wa aina hiyo wafe na pesa zao mbele !

Yaani Mkovu yamesha pona leo mnaleta stori? Any way ! Alipataje matibabu? Je alipewa PF#3?
aaaah unasema nyuma ya keyboard yako tu kwanza ajira zilivyo ngumu hawawezi kumsaidia kwa kuogopa kukosa ajira
hawawez kumsaidia kushtaki hii si mara ya kwanza kuna mwingine tena hadi mwigulu alimuendea front wananyanyaswa haswa na si wachina tu hata watanzania wapo wanaonyanyasa sana wafanyakazi wao
 
Kijana huyu ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye kiwanda cha kutengenezea viatu vya yeboyebo ambapo mmiliki wa hicho kiwanda ni mtu mwenye asili ya China (Mchina).

Kwa mujibu wa kijana huyo anadai muajiri wake huyo mchina alimtupa kwenye banda la mbwa wanne ambao watatu ndio walimshambulia na yeye akawa anapambana nao.

Mmoja wa mbwa hao wanne alikuwa mbwa mkubwa ambaye hakumshambulia ila alipoona kijana ameanguka chini na hawezi kupambana tena na wale watatu ndipo alipowakoromea mbwa hao wengine watatu wakaacha kumshambulia

Baadae wafanyakazi wengine wa kiwanda walikuja kumtoa kijana huyo hospitali na akenda kujitibu lakini kutokana na uhaba wa fedha hajapona vizuri mpaka sasa

Kisa cha muajiri huyo kufanya hivyo kwa mujibu wa kijana anasema alimwambia kuwa hawezi kufanya kazikatika kitendo ambacho alipangiwa kwa kua kulikuwa na moshi mkali

Msikilize zaidi hapa

na bado hajaenda kurepoti popote wala kituo chchote cha kudai haki zake .. Watanzania tumelogwa
 
Na sio ajabu mamlaka zipo na zina taarifa lakini kwa kuwa haina uchochezi, hawahangaiki mpaka pale mchina huyo atakapokosa uzalendo! Ni aibu kwa mamlaka za kukamata na kushtaki kwani kila opd ya hosptali ya umma kuna dawati la polisi lenye kutoa form ya ruhusa ya kupata matibabu (pf 3) hasa kama maumivu hayo yamaesababishwa na mwingine. Kama ana hiyo pf3 aishtaki polisi kwa kutomtimizia hitaji lake la kumkamata mchina na kumshtaki kwa mbwa wake kumshambukia ili wale mbwa wawekwe chini ya ulinzi pamoja na mwenye nao! Nchi nyingine hukuti ujinga huu!
Katika mambo kama haya hutasikia hizo mamlaka, ila sema tu unaandamana ndiyo utazisikia mpk kwny TV
 
Kijana huyu ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye kiwanda cha kutengenezea viatu vya yeboyebo ambapo mmiliki wa hicho kiwanda ni mtu mwenye asili ya China (Mchina).

Kwa mujibu wa kijana huyo anadai muajiri wake huyo mchina alimtupa kwenye banda la mbwa wanne ambao watatu ndio walimshambulia na yeye akawa anapambana nao.

Mmoja wa mbwa hao wanne alikuwa mbwa mkubwa ambaye hakumshambulia ila alipoona kijana ameanguka chini na hawezi kupambana tena na wale watatu ndipo alipowakoromea mbwa hao wengine watatu wakaacha kumshambulia

Baadae wafanyakazi wengine wa kiwanda walikuja kumtoa kijana huyo hospitali na akenda kujitibu lakini kutokana na uhaba wa fedha hajapona vizuri mpaka sasa

Kisa cha muajiri huyo kufanya hivyo kwa mujibu wa kijana anasema alimwambia kuwa hawezi kufanya kazikatika kitendo ambacho alipangiwa kwa kua kulikuwa na moshi mkali

Msikilize zaidi hapa

Bi. Hellen Kijo Bisimba yuko Na taarifa hii? Mwigulu Nchemba wewe ni Mwana JamiiForums mwenzetu tunaomba uhakikishe haki inafanyika kwa kijana huyu Na huyu Mchina
 
Sisi ni wavivu!okay twende kwenye mada mchina amechukuliwa hatua gani,
sas wwe hapo uvivu wake nini alishasema awezi fanya kazi kwenye sehemu yenye moshi mkali ..
kuwa na reasoning kazi za wachina viwandani ngumu.
 
Ki ukweli inasikitisha sana hajuna kinachouma kama hr wa hiyo kampuni ya yeboyebo (mtanzania mwenzetu)anamtetea mchina kwa maelezo ya yule kijana yule mchina alimfanyia makusudi alimpeleka eneo la htr huku akijua na kuwafungulia baada ya yule kijana kuonekana amekataa kufanya kazi sehemu panapofuka moshi .....mamlaka husika wachukue hatua stahiki kijana atibiwe na apewe fidia maana mpk sasa baadhi ya viungo vyake hana (amesababishiwa ulemavu)
 
Mi pamoja na uanamke nimejiuliza amemtupaje,mana na huu uanamke sijui km angeweza,,angetumia muda mrefu sn mpk afanikiwe,,,labda km kamuingiza kwa akili sn ila si kumtupa
Mkuu hawa Wachina wana tochi zao za shoti, yani akikumulika unapigwa shoti na kuishiwa nguvu kwa muda na unakuwa huna ujanja. Pengine alitumia mbinu hiyo kufanikisha unyanyasaji alioukusudia.
 
wasipochukua hatua yoyote dhidi ya huyo mchina na kumtibu huyo mgonjwa basi tambueni ujinga kwa asilimia kubwa bado unaelea kwenye vichwa vyetu,huwezi kusema upo huru halafu watu kutoka nje wanaweza kuja kukutesea watu wako kwa kuwatupia kwenye mbwa!,fikiri kama ndo wewe au mwanao.. this is fucking shit!
huu ujinga utaendelea kwa miaka mingapi we are nothing,kwao tupigwe,kwetu palipomwagika damu za mababu zetu kwa kutetea uhuru tulionao tupigwe! a fucking shit is in our heads!.
hatuutendei haki uhuru uliopiganiwa na mababu zetu,leo tumekuwa chakula cha mbwa kwenye nchi yetu!.
mara nyingi huwa nasema waafrika tunadharaulika kwasababu ya ujinga wetu rangi pitio tu.
 
yaan bado cjaelewa huyo mchina alikuwa na nguvu gani hadi kumtupa huyo jamaa kwenye banda, kwanza kitendo cha kunishika tu pangechimbika!
Nlisikza heka heka, ni kuwa mchina alimwambia twende godown nkakuonyeshe kazi zngne, ndpo akamfungulia mbwa huko godown ndani.
(I'm lazy to type)
 
Mi pamoja na uanamke nimejiuliza amemtupaje,mana na huu uanamke sijui km angeweza,,angetumia muda mrefu sn mpk afanikiwe,,,labda km kamuingiza kwa akili sn ila si kumtupa
Alifaa kumfungulia mbwa wa muume
 
yaan bado cjaelewa huyo mchina alikuwa na nguvu gani hadi kumtupa huyo jamaa kwenye banda, kwanza kitendo cha kunishika tu pangechimbika!
ujue hata mie zamani nilikuwa nashangaa asa mwaarabu wawili na gobole wanasafirisha watumwa 100 ujinga gani huu

badae nikaja gundua kunakua na makatembo/wanyampara (waafrika wenzako) wanashirikiana

naamini kuna wa tz wenzake walishiriki kumbeba jamaa kumuingiza kwenye banda la mbwa.
 
Kila mtu afanyie shooting wachina watatu. Kama Rihana alvyofanya kwe rampapapa man down, # nnahasira &#*$&-&##
 
Wewe unaongea kirahisi tu, pengine huyo mchina ni black belt, kifinyo chake ni heri uende kudokolewa na dog
Siyo wachina wote wanajuwa karate mkuu wangine mambwiga tu,wewe unadhani kila anaetoka brasil anajuwa kucheza mpira.
 
yaan bado cjaelewa huyo mchina alikuwa na nguvu gani hadi kumtupa huyo jamaa kwenye banda, kwanza kitendo cha kunishika tu pangechimbika!
Usiongee ivyo kijana,sasa mfano upo ndani ya fensi ungefanyaje kama wewe
 
Walikotaa Utumwa wanastuka hawana Uhuru nafikiri Idara ya ajira na kazi wajipange unakuta mtu anafanya kazi ana makataba yupo yuko tu
 
Back
Top Bottom