Kijana anaomba ushauri

Kijana anaomba ushauri

The redemeer

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2025
Posts
4,780
Reaction score
8,155
Ana shida na milioni mbili akafanye biashara ana uzoefu nazo lakini kuipata hio pesa ni mtihani ana shamba heka kumi amekosa wateja ili apate mtaji.
Wazo lake akachukue pikipiki ya mkopo marejesho ni laki tatu kila mwezi kwa miezi 15 jumla milioni 4.5,akishakopa aiuze kwa shs milioni mbili na nusu ili anunue chainsaw na milioni inayobaki aingize kwenye uchimbaji dhahabu za mtoni hazina gharama hizi.
Anaamini ndani ya mwezi chainsaw haikosi KAZI ya kulipia rejesho, return ya dhahabu ni ndani ya wiki moja kuchimba mchanga na kuosha ukosi gram kumi kwa uzoefu wa eneo Hilo.
So anataka kukopa afanye kubet maana mda unaenda na ramani haisomeki,hofu ikitokea changamoto ya chainsaw imeibiwa,potea,kufa,nk imekula kwake atakosa rejesho, ikitokea mtaji ukaisha kwenye uchimbaji na asipate kitu imekula kwake atakosa rejesho na pikipiki aliyemuuzia ni lazima itazimwa kwa sababu zinafungwa GPS.
Roho ingine inamwambia achukue risk akope akisimamia vizuri anatoboa but project yeyeto sio garantii ni win or loose.
Ikiloose kwake itamuongezea mzigo wa madeni maana Hana chanzo ingine ya kurejesha mkopo.
Ushauri wako a get risks on trying au a die poor in trying.
 
Zingatia kaida za unandishi,,,, ! Hati mbaya vituo hakuna, unaandika kama mtu anayeoga nje
 
Back
Top Bottom