Wana JF sasa hivi tupo hapa Igunga hospital usiku huu, kijana wa CCM aliyekuwa anabandika mabango kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za CCM kesho, ametekwa na vijana wa CDM na kumwagiwa tindikali usoni,, kwakweli ameharibika vibaya na inasikitisha sana. Hawa CDM kwanini wameweka fujo na ughaidi mbele? Sasa huyu kijana hawezi kuona na ukimwona utarokwa machozi. Hebu hizi tamaa na uroho wa madaraka usituingize kwenye vita,, ni kitu kibaya kabisa kilichofanyika. Sasa hivi waandishi wa habari wamefiaka hapa, pengine mtasoma kwenye magazeti na kuona picha. Watanzania tukatae roho za kijambazi kama hizi

MUsharaf naona unaumwa! Katoe kataarifa Polisi si hapa JF.

Mods tusadieni kuondoa hii hapa
kama ni kweli tunampa pole kijana, siungi mkono vurugu, pia siamini uwekaji mabango ya matangazo ni chanzo cha vurugu za hivyo, nikimkumbuka H. Kolimba machozi yanitoka. yaweza kuwa ni mchezo mchafu wa ccm kuomba huruma ya wanaigunga.

Acha unafiki, mbona thread ya kiongozi wa CCM S'wanga aliyempiga mkewe haijaondolewa?

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

Hili nililitarajia kutoka kwenye chama kilichozoea fujo na maandamano kiasi cha kukodi wala ndumu kwenye maandamano yao. Wasiwasi wangu hii thread haitaishi kufikia asubuhi kabla haijafutwa eti kwa kuwa hakuna ushahidi. Wanasahau jinsi wanavyojaza thread za kumkashfu Kikwete kila uchao.

Hizi ni mbinu za ccm, huwezi kusema ni chadema wakati hakuna ushahidi. CCM wanambinu chafu sana. Tukumbushane yale ya ccm wakati wa uchaguzi mwaka jana mpaka wakamtoa dereva kafara.

Umeshaambiwa Chadema ndiyo wamehusika sasa CCM wanaingiaje hapo? Usifikiri kila mtu mjinga humu.

Acha unafiki, mbona thread ya kiongozi wa CCM S'wanga aliyempiga mkewe haijaondolewa?

Mnafiki Mama aliye kuzaa nje ya ndoa na mme tahaira