Ni stori ya kusikitisha lakini si ya kweli. Nimeishi South Africa miaka 10. Toka kupatikana kwa Uhuru hakuna sheria yeyote inayoruhusu a minor (mtu aliyechini ya miaka 18) kufungwa sehemu moja na watu wazima, na kama alikuwa form 2 most definetly hakuwa na miaka 18. Na kuna kitu kinaitwa right of presentation ambayo mtuhumiwa yeyote hupewa pale tu anapokamatwa na kuweka mahabusu ambayo ingemlinda huyo mtoto kama mwanafunzi na mgeni kutokulala ndani. Na sheria hairuhusu kwa minor kutiwa ndani kama kesi yake haihusiani na mauaji. Siku zote hukabidhiwa kwa uangalizi wa mzazi ama mlezi.Kwa nini asiishitake shule kwani kule ubaloz haupo?maana dogo lazima anamfaham jamaa aliefanya hivyo,mshenz kabisa tena ikiwezakana hata atngaze kaisa kwenye maredio naamin wanahalakat watakuwepo tu wa kufatilia hilo jambo.