Natafuta kazi yeyote halali Niko mwanza

Maelezo yako hayajajitosheleza kuwashawishi watu wakupe mchongo. Jaribu kuwashawishi zaidi.
Kwakuwa upo nyegezi naomba nikupe ramani flani ujaribu bahati yako.
Nenda pale Mwanza South, jirani na tanesco ya Igogo. Kuna ujenzi wa Meli unaendelea, kajaribu kuomba kazi pale mkuu. Bahati inaweza kuwa upande wako
 
Ahsante mkuu nimeenda Pele pamejaa,,, Nia yangu nipate kazi yeyote tu Ile halali hata kufundisha pia kama shule ikipatikana Kwa physics na mathematics naweza
 
Naomba Kwa mwenye uhitaji nauza simu yangu nipate hata mtaji nianzishe ujasilia Mali ni Infinix smart 6 Ina miezi kumi Toka ninunue nauza 120k wakuu make kazi zimekuwa ngumu
 
Mimi ni kijana wa kiume elimu yangu form six natafuta kazi yeyote ili niweze kuendeshea maisha napatikana mwanza
Tunahitaji mfanyakazi kwenye kituo cha mafinzo ya ufundi stadi-Moshi Institute of Technology:
Awe na uwezo wa kufundisha English,Secretarial,Enterprenuarship ,communication.,....
Uwezo wa kutimua na muelekeza kweney program za computer nao ni muhimu
Kama upo tayari tuma cv na vyteti vyako kwa email mitcomputingtz@gmail.com au whatsap 0717157640
Kila kitu maelewano na unaaza kazi soon
 
Natafuta VIBARUA (20) Kwa ajili kubeba MIZIGO kiwandani.
ENEO NI MIKOCHENI ITV, { VIWANDANI}KARIBU NA MM STEEL
KAZI inaanza Leo saa TISA KAMILI KAZI ni endelevu Kila siku.
Malipo ni Shilingi 9,000/= Kwa siku
Kwa Maelezo zaidi piga simu namba 0765867222.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom