aaahg! mimi nilivyomaliza form 6 nilipiga pindi kwa mda shule flani hivi mkanda wa sarawili ukaachia bakozi halafu kiuno cha sarawili yangu ni oversize, ilivyodondoka nikaidaka fasta nikazuga kwa kuwaambia wanafunzi ''na hivi ndivyo spidi ya magma inavyolipuka'' teh teh teh!