Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,572
Nimekuwa mdau wa kijambo cha wiki kiasi ambacho siwezi kukikosa nimekipenda hasa cha leo , kimeonyesha vile wasira akibwajaja juu ya mgogoro wa Arusha kwa upande mwingine wenzao CDM Dr.Slaa akielezea mambo muhimu mstakabali wa nchi juu ya katiba mpya na ccm wakizuba wanaweza kushituka CDM hao wanasonga mbele hao kama vile Yanga walivyomua mnyama Simba!