Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

Nakupendaaa na sifa nakupa usifate ya wale wasiopenda maendeleo yetu mpenzi wng..........
Dah noma sana hapa nature katisha.
 
Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa busara
3. Ya Leo Kali
4. Ofisi miguu . manzese crue
5. Mamy
6. Narudi kijijini
7. Demu simwelewi
8. Niaje hatupatani
9. Inaniuma sana
10.kamua
11. Zari la mentali
12. Dance with me
13. Sonia
14. Akwelina
15. Aa wapi by nature
Je ni kiitikio gan alikaa sawa, hebu tupia hapa ngoma moja ya nature kibra msitu wa vina

PLEASE UPLOAD MUSIC AMBAO CHORUS ULIIPENDA HAPA
Aisee mwenye nyimbo Lukeza Ft Juma Nature inaitwa Mtanganyika naomba aniPM aisee nipo teyar kumtoa.
 
Msela na mangweha
Si.ndio ccm..na.magweha
Nawauliza viongozi mlio.simama ni yupi.kati yao bibi.bwana nk...sijui kaimba na nani??
Akweli...
Namtafuta wangu mwenza..na nonii

Nampenda nampenda..na.mike t

Ndan.ya clun..na.p funk majan

Nk
Huyu jamaaa alikuwa balaaaaaa
 
Mama kaacha kunyonyesha...

Kwanza j nature hakana hata nyamaa..

Mama tusitafutiane lawamaaa..


UTAJIJU ah ah ah huyu jamaa alikuwa katuni.balaaaa
 
Boss mkurugenzi kitambi meneja...na ferroz

Huyu demu.me simuelewi..josilin

Miaka sita mpaka sasa hajazaa..na voice wonder
 
Akwelinaa weee tulimalize tatizoo ololooo akwelina mpenzi nakupenda(aisee nature amelalamika ile mbaya)..hii nyimbo ni ringtone Yng kwenye SIMU Yng mpka Leo..chorus nyingine ni ile ya hatuna kitu aliyoimba na rich one napenda anapomalizia JUMA nature sir nature a.k.a msitu wa vina watanzania mahiri tuliokomaa kimashairi kiubishiubishi au sio bwana lazima ukubali track na makamuzi yote ya mwaka babaake yani ni makamuzi ya kufamtu rich one bebii..kama kawaida mapanga shaa shaaa utaumia ww kuku jogoo jina...kuna song moja inaitwa kisa demu kuna sehemu nature anaimba kama demu anaulizwa HV "Eti dia kati ya Mimi na huyu bwege sir nature we nani unamtaka?demu akawa anajibu(ila ni nature anabadilisha sauti)demu anajibu" kwani humu ndani unaona nimetoka na nani?jamaa anauliza tena "sasa sinataka nijue ww unampenda nani?demu anajibu nechaaaaaàa huku anacheka..bonge la kisa na jinsi alivyobadilibadili sauti lazima wimbo uupende.zingine sitaki demu aisee jamaa kaponda ile mbaya madongo na mabiti ya kufamtu kuna sehemu anasema ukimchekea nyani shambani atakusumbua utayavuna mabua na usiombee wenzio kujua watakuchekaaa..nyimbo zingine ni inaniuma SNA,wazazi baba na mama,ccm na cuf,iddy ni nyingi mno.kwangu mm nyimbo zote za nature alizoimba na kushirikishwa amefunika sana na anajua kucheza na beat.
 
"Sikia..., una wiki ya tatu unanifuata mwenzio, kwa mapanga na marungu kisa demu..."

Wimbo: Kisa Demu,
Msanii: Juma Nature,
Albamu: Ubinadamu Kazi.
 
Back
Top Bottom