Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

Tina wangu tina mama ,tina wangu tina baby
Mambo gani Tina umefanya .....
 
Nataka kuziweka hapa ila nashindwa Ku upload
 
Juma nature ni hatari nyimbo zake hazichuji, mmenikumbusha mbali sana na mzee wa busara
 
Sogea karibu uje uwe wangu,,,,,
Manzese crew
 
Madau mmesah au "Huweze jua " hilo songi ni Balaaa tupu!!!
 
Wanaburudani habari zenu,
Mziki wetu kuna vionjo fulan vya zaman vinakosekana,
Hasa kwenye kiitikio ungemkuta dully Sykes, nature au q chief
Hebu tuanze na juma nature,
1. Radhia
2. Mzee wa busara
3. Ya Leo Kali
4. Ofisi miguu . manzese crue
5. Mamy
6. Narudi kijijini
7. Demu simwelewi
8. Niaje hatupatani
9. Inaniuma sana
10.kamua
11. Zari la mentali
12. Dance with me
13. Sonia
14. Akwelina

Je ni kiitikio gan alikaa sawa, hebu tupia hapa ngoma moja ya nature kibra msitu wa vina

PLEASE UPLOAD MUSIC AMBAO CHORUS ULIIPENDA HAPA
mbna sijaona MTOTO IDDY

Mtoto iddy kazua balaa
mtoto iddy kazua mikosi
huyu bwana kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwaa....

endelea mkuu
 
mbna sijaona MTOTO IDDY

Mtoto iddy kazua balaa
mtoto iddy kazua mikosi
huyu bwana kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwaa....

endelea mkuu
Kuvumilia IDD anavyofanya yategemea MTU na mtu kwa.....hamnaga...... hasira mtu kuna wengne hapana masihara
mbna sijaona MTOTO IDDY

Mtoto iddy kazua balaa
mtoto iddy kazua mikosi
huyu bwana kapandwa na kichaa anahitaji kurekebishwaa....

endelea mkuu

Kuvumilia IDD anavyofanya yategemea MTU na MTU kwa.....hamnaga......kuna wengine hawana masihara....wata mletea matatizo asijue wapi pa kukimbilia....wata kuletea matatizo usijue wapi pa kukimbilia........
 
August 13

Nmetaja hyo tu sababu naipenda nyimbo yote, ila kiukweli juma nature a.k.a necha kwenye ubora wake alikuwa mtu hatari zaidi.
Niko dunian tangu agost 13 navuja jasho kimpango Wangu , maisha ni shida na raha utachekwa ukizubaaa
 
Back
Top Bottom