Kiitikio au chorus ipi ya Juma Nature uliipenda sana?

hiyo mibangi mnayovuta ni stimu za kulanduka kama sio yako fani kwa kweli utaumbuka. ...Tina na naja
noma sana
 
Fresh P ft Juma Nature - Tina

Kwann Tina P umemuachaa analia,
Eti kisa P amechacha hutaki kumuhurumia,
Kwa kwann Tinaa unamtakia preshaa,
Hujui nn anachofanya.

Tinaa ona huruma mama
Ipo siku P atapata pesa...

The Legend Juma Nature
 
Back
Top Bottom