what makes it being crap?
Unataka mpaka CDM wakisema ndio manakubali?
tunapingana kwa hoja sio chuki binafisi zisizoweza kujenga nchi yetu
Halfcaste!Wakuu kubali msikubali Januari ametumwa kutengeneza mazingira mazuri kwa old au new Dowanz kwa kisingizio cha "Emergency" yaani Dharura.Yangu macho ila mazingira yanayotumiwa na Serikali yetu kwa kushirikiana na Tanesco yanajidhihirisha wazi.Ukiangalia vizuri mgao wa umeme its "New Deal" imetengenezwa kitaalam kahalalisha Old Dowans au New Dowanz!!Inauma sana.
Wakuu kubali msikubali Januari ametumwa kutengeneza mazingira mazuri kwa old au new Dowanz kwa kisingizio cha "Emergency" yaani Dharura.Yangu macho ila mazingira yanayotumiwa na Serikali yetu kwa kushirikiana na Tanesco yanajidhihirisha wazi.Ukiangalia vizuri mgao wa umeme its "New Deal" imetengenezwa kitaalam kahalalisha Old Dowans au New Dowanz!!Inauma sana.
Sio lazima kila fikra nzuri itoke upinzani,dogo kaanza vizuri UMEME SASA NI JANGA LA TAIFA.Kuna line moja nilipenda aliposema kama watanzania wanadhani mzigo wa kulipa Dowans ni mkubwa wasubiri kesi ya IPTL ikiamuliwa ndio wajue uzembe wa Tanesco/wizara/wanasheria wetu.Watu wanapunguzwa kazini kila kukicha kwasababu ya mgao hali ni mbaya sana.Wacheni dogo apige kazi jamani, this is the new blood.
He wants to prove that he can DO IT. Mimi binafsi nina imani sana na January that he can contribute to the changes.
Wacheni dogo apige kazi jamani, this is the new blood.
He wants to prove that he can DO IT. Mimi binafsi nina imani sana na January that he can contribute to the changes.
Sio lazima kila fikra nzuri itoke upinzani,dogo kaanza vizuri UMEME SASA NI JANGA LA TAIFA.Kuna line moja nilipenda aliposema kama watanzania wanadhani mzigo wa kulipa Dowans ni mkubwa wasubiri kesi ya IPTL ikiamuliwa ndio wajue uzembe wa Tanesco/wizara/wanasheria wetu.Watu wanapunguzwa kazini kila kukicha kwasababu ya mgao hali ni mbaya sana.
Kitu cha kushangaza na kuhudhunisha kwa sirikali yetu ni kuwa mwaka jana wakati tuna maji ya kutosha tulisikia wameagiza mitambo mipya badala ya hii ya second hand ya dowans. Mwaka na ushee umepita tunapewa alinacha zilezile za wakati wa richmond kuwa "jambo hili la umeme ni la dharura" shenzi tutakuwa ni taifa la dharura tu!!! Kweli hii nji ina watu wenye akili au vichwa vimejaa mavi badala ya ubongo!!!!!!
Nyie subirini tu; mtawalipa bilioni 94, halafu watakuja na hiyo kampuni nyingine na serikali itakuwa tayari kununua/kukodisha majenereta yale yale (kutoka kwa kampuni nyingine) kwa mkataba mwingine wa bilioni 60 halafu mjikuta at the end of the day, majenereta ya Dowans yanatengeneza karibu bilioni 400 kwa watu wale wale - kisingizio kikiwa ni "tatizo la nishati".