Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Ukisikiliza maneno ya Jiwe na ukayaamini, basi hata ukiambiwa kuwa mbingu ni nchi mojawapo ya dunia hii utaamini!Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Lazima tujenge utamaduni wa kudharau upuuzi unaosemwa na CCM na viongozi wao! Ni kuangalia usalama wetu ukoje, then kama usalama wetu uko vizuri, just ignore!Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
kwa hiyo tukusaidiejeAlafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Sisi wana CCM tuta comment wapi sasa kwa mipovu hii ya wana ufipa.Yule rohombaya jiwe ndo muasisi wa chuki za kisiasa hao mbwa wengne wanafata tu maagizo ya boss
KalaleSisi wana CCM tuta comment wapi sasa kwa mipovu hii ya wana ufipa.
Tatizo ni chama cha wahuni!Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
We usiwe na wasiwasi comment juu ya maandishi yoyote tu tutasoma kwa kuchambua kiyakinifu.Sisi wana CCM tuta comment wapi sasa kwa mipovu hii ya wana ufipa.
Hivi maendeleo ni ombi kwa serikali au ni lazima?Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni