Kiini macho cha CCM kuwa maendeleo hayana chama huku wanawabagua wabunge wa upinzani leo siri imevuja

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,898
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge

Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
 
Ukisikiliza maneno ya Jiwe na ukayaamini, basi hata ukiambiwa kuwa mbingu ni nchi mojawapo ya dunia hii utaamini!
 
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge

Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Lazima tujenge utamaduni wa kudharau upuuzi unaosemwa na CCM na viongozi wao! Ni kuangalia usalama wetu ukoje, then kama usalama wetu uko vizuri, just ignore!
 
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge

Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Tatizo ni chama cha wahuni!
 
Ipo siku hao wanaoitwa wahuni watakuwa ndani ya serikali halafu watageuka kuwa wahuni
 
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge

Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Hivi maendeleo ni ombi kwa serikali au ni lazima?
 
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge

Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaa
IMG-20181208-WA0000.jpg
IMG-20181208-WA0000.jpg
nisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
 
Yote haya ni kwa sababu katiba yetu ya mwaka 1977 inamlinda rais hata anapotumia mamlaka yake vibaya {Ibara 45 na 46}
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom