Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha amemwambia Mbunge wa Simanjiro James Milya kuwa alikuwa kwenye Chama cha wahuni kabla ya kurudi CCM ndio maana alikuwa hafiki jimboni kwake pia amemueleza kuwa DC wa wilaya hiyo alikuwa akimtaka akifika jimboni kwake asije na mbunge
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni
Alafu kila siku wanatuambia maendeleo hayana chama,hapa amemaanisha kuwa hata wananchi waliomchagua ni wahuni