Hiyo Lenana ni ile ya Luguruni au nimechanganya!?Karibu chimbo jipya club fusion ama lenana hotel
Ni motivation tu, sio issue ya kumudu kulipa.
na bado wanawake hawatokei sehemu hizo kwa kiasi hicho pamoja na ofa! Wanaume wakiambiwa men free si ukumbi utabasti hehehe. Chezeiya bia za elfu kumi ya kiingilio ikachakachuliwa na nyagi viroba 2?
Wanapewa offa hiyo ili wakaujaze ukumbi husika ndipo sisi midume na uroho wetu wa kuwapenda tutalipa viingilio ili tuwaone tuwatongoze na ikiwezekana tuwaoe.
Nalog off
Judgement, wanawahamasisha wanaume kwenda kutumia PESA kwenye kumbi, wanaume bila mwanamke hakuna starehe.Wana wa Bodi na wadauwenza.
Mara kadhaa nasikia matangazo through media zetu , kama headin yangu inavyosoma.
Kattu na kamwe sijasikiaga "wanaume bure wanawake Tsh kadhaa!"
Sitaki kabisa niamini kwamba binadamu hawa hawana uwezo kua'afford hiyo makitu.
Nakua na maswali mengi kwa majibu haba!
Offer hizi kwa nini zisielekezwe kwa walemavu ?
Nini mantiki yake binadamu hawa wabwedeshwe hata kwenye mastarehe?
Au ndiyo tuseme hata kwenye kumbi za starehe "viti maalumu" vinahusika?
Judgement, wanawahamasisha wanaume kwenda kutumia PESA kwenye kumbi, wanaume bila mwanamke hakuna starehe.
Judgement, wanawahamasisha wanaume kwenda kutumia PESA kwenye kumbi, wanaume bila mwanamke hakuna starehe.
kwahiyo unamaanisha nyie ndio starehe yetu siooo amaaa?
Mbona jibu simpo sana Judgement , hawa watu wa bar wanataka vuta mijibaba tujazane teleee kwenda kusaka warembo.... Ila mi naamini mrembo haendi ladies free.
Kwa mf. Wewe King'asti ushawahi changamkia ofa sampuli hii ?
Karibu chimbo jipya club fusion ama lenana hotel
When i want something or i wanna go somewhere, price or cost is the last thing on my mind. I just check my balance. So kujibu swali.lako, nikiingia hapo ni kwa sababu nataka kuingia na sio kwa ajili ya bure.