Kiingereza ni tabu, si BUNGENI tu!!

Kiingereza ni tabu, si BUNGENI tu!!

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Ticha mmoja kijijini kwetu alikuwa akijitambulsha kwa wanafunzi baada ya kupangiwa field katika shule ya kijiji,
'My name is Teacher Juma. I will be with you for 1 moon. I need your union'!!
 
Ticha mmoja kijijini kwetu alikuwa akijitambulsha kwa wanafunzi baada ya kupangiwa field katika shule ya kijiji,
'My name is Teacher Juma. I will be with you for 1 moon. I need your union'!!
hahahaaaaa mbavu zangu mie,
 
zee, zee piople like zee zee zee car! yaani m2 anasema zee(the) kama 20 stori fupi 2 ya dk 1
 
Mtajuaje kingereza jk anawadanganyeni eti mdumishe kiswahili wakati watoto wake anawasomesha uingeleza sijui wanasoma kiswahili huko au ndo usimwamshe aliyelala
 
Watoto zake wanasoma hapa bongo weweeee,au hukumbuki ya Mwanaasha.
Halafu sio Uingeleza ni Uingereza.

Mtajuaje kingereza jk anawadanganyeni eti mdumishe kiswahili wakati watoto wake anawasomesha uingeleza sijui wanasoma kiswahili huko au ndo usimwamshe aliyelala
 
ya jamaa anayemueleza mzungu john kaliwa na mamba " mr jon iz standingi on ze ston rikaja wimbi ndani rina mamba rikamsuya kichwa miguu finish"
 
Back
Top Bottom