Kiingereza kwa watoto wetu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,239
Naangalia RAUKA KIDS Citizen Tv , Kenya, these small kids are so fluent in English mpaka naona wivu wa maendeleo. Je sisi watoto wetu wanashindwa wapi? Kama wazazi/walimu tunakosea wapi?
 
Kwa shule za serikali, hata waalimu wenyewe hiyo lugha ni tatizo. Sasa wnafunzi watakuwa na msingi mzuri kweli?
 
Teacher : what is this ?
(anaonyeshea kwa fimbo)

Pupils: this is a book.

Teacher : (kwa hasira) sio hivyo. Nyie muwe mnasema that is the book. Sawa? Huku akipiga fimbo juu ya meza.

Pupils : Sawa mwaaalimu
Teacher : Haya tunaanza tena....

kufundisha kiingilishi raha sana.
 
Back
Top Bottom