LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,333
- 27,159
Kiingereza kimekuwa ni tatizo katika kufikia malengo ya ufundishaji na ujifunzaji kwa walengwa wengi,mfano,unakuta mtu amehitimu lakini kuongea au kuandika hadithi fupi tu ya jinsi ya kupika ugali ni shida,wakati amefundishwa tangu msingi.Kuna haja gani ya kutumia KIINGEREZA wakati KISWAHILI kipo?