Kiingereza cha Vitumbua ni nini?

Duh!ipo siku mtu atataka kujua michembe na mapalage kwa ung'eng'e.
 
Vitu=Things Mbu=Mosquito A =A(remains the same)So the answer is ThingsmosquitoaAnd you're done.Msipende ku-complicate mambo.
 
Kwa habari ya chakula (hasa cha asili ya mahali fulani) lugha haichagui. Mfano nenda India au Uchina, chakula kinaitwa na kuandikwa hivyo, mgeni hupewa maelekezo ya namna ya mapishi na vilivyomo (kama kuna mchanganyiko) Kwisha. Tuache kujipendekeza kijuha. Vitumbua ni pishi letu wageni waite kivyetu. Ndo kawaida.
 
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.


Buns, rice buns, rice cakes, yum-yum cakes, yum-yum buns, rice fritters, rice goodies, rice-oh-boy, rice-oh-girl, scrumpchity-rice, ooh-what-a-rice.

Majina yalioiko kwenye rangi ya bluu yalibuniwa/yalitumiwa na watoto wangu walipokuwa wadogo.
 
You have not adopted good morals from your elders.
 
Samahani, lakini naomba niulize; hivi vitumbua kwa Kiingereza vinaitwaje? Maana daah, kuna dogo hapa wa English Medium kaniuliza nimeshindwa kumjibu.

andazi nm ma- [li-/ya-] bun, doughnut, fried round sweet bread.

Source: TUKI Kamusi/Dictionary
 
You have not adopted good morals from your elders.
safi kabisa,ila radhi aliyomaanisha yeye hapa ni ile ya baba/mama kuvua nguo na kukuonesha utupu wake halafu sisi watz tunaingiwa na imani ya kuwa mtu huyo atachanganyakiwa,nchi nilizotembelea watu wanaona uchi wa wazazi wao na hakuna lolote litokealo.
Nalog off
 
Hata kwenye mabala the famer book vitumbua walikua wanaita vitumbua we umefika ata 4m 2 kama bado soma sana kila kitabu biblia story magazet ya kiingeleza utajua meng
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…