Kiingereza cha Nuhu Mziwanda

ericford

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
265
68
hivi wanafanya makusudi au..
 

Attachments

  • 1432641392957.jpg
    1432641392957.jpg
    41.6 KB · Views: 707
Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..!

Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...
 
Dah!
Ama kweli duka limejaaa!!!
Ndorobo wapo wengi kweli kwenye tasnia yetu..
 
Mnacho takiwa kujua huyu na Mkewe wana tafuta kiki kwa nguvu hakuna cha kukosea kingereza wala nini..! Pengine hawajui kweli lakini wana zidisha ili waongelewe ...

Wanatafuta kiki hicho kiingreza walikijua lini,yaan hapo sio kujifanyisha Bali ni hawajui tu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom