Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,581
- 2,937
Nakumbuka kuna siku hapa UK uliandaliwa mkutano wa watainzania waishio huku na wahutubiaji waliokuwa viongozi wa chama cha watanzania wakati huoUkishajua Kiingereza Unapata Nini? Sasa Wewe unajua Hicho Kiingerereza ila Huna Hadhi Kama Ya Mama Makinda na Utakufa na Umasikini Wako Huo Huo Pamoja na Kiingereza Chako hicho. Halafu Mbona Wanaokijua Huwa Hawashoboki na Wala Huwa Hawapendi Kujionyesha Kama Wanakijua na Wanakiongeza Isipokuwa tu Pale Inapobidi? Ndio Tatizo Ukizaliwa ktk Ukata na Siku Ukizibahatisha tu Nyodo Nyingi Mitaani. Mwacheni Mama wa Watu na Isitoshe Tunamwelewa Mno tu Akiwa Anazungumza ila Huwa Napenda Sana Mfano wa Mama ASHA ROSE MTENGETI MIGIRO Kwa Kupenda Sana Kuzungumza na Kukisifia KISWAHILI chetu Wakati ni Mzungumzaji Mzuri Sana Wa Kiingereza Pale Inapobidi tu ila Hakitukuzi Hicho Kiingereza Chenu. Mmekuwa Wepesi Sana Kuwashambulia Viongozi Kuwa Hawajui Kiingereza Wakati Usishangae hata Wewe Mwenyewe Hujui Kuongea Vizuri Kiingereza na Hata Wazazi Wako au Ukoo Wako Wote Nao Hawajui bali ni Wewe tu Ndiyo Umeona Mwezi na Umetoa Tongotongo. Mnaudhi na Ndiyo Maana Nawapaka na Mkinichukia Shauri Yenu Washamba Wakubwa.
Kikao kilihudhuriwa na watanzania watupu kasoro fundi mitambo tu ndio alikuwa mhindi.
Basi hapo ilikuwa kama mashindano ya watoto kuongea kiingereza, kila aliepanda jukwaani alikuwa anashuhsa ung'eng'e wa kila aina. lakini mwisho wake hakuna lolote la maana waliloongea. Mimi nilisimama na kuuliza swali kiswahili wakanicheka sana, lakini jiulize, hao hapa UK wanafanya kazi gani?