Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii , jamaa kaishia form four sjui form two lakni anajitahd kuitendea Haki tasnia yake , kuna undergraduate kibao tuu wakikutana na snoopy Dogg lazima wachore , ...... Ni kweli jamaa kingereza ni cha kuunga unga hata hvyo anajitahd kuliko kunyamaza kimya ....."i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sikilizeni nyie mbuzi mwitu, hyo ni lugha ya kisanii
Mi huwa simuelewi kabisa.Kwa kweli anatakiwa kuwa real, kila mtu anajua yeye ni mtanzania, halafu kuongea slang ya kimarekani wala sio maendeo ya kimuziki au kigezo cha kukufanya uonekane matawi ya juu sana saaana ni ushamba!
Davido, Wizkid, Burna Boy, mbona wanagonga kinaija safi tu na wanatrend sana mbele huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jamaa mnafiki sana wewe.... Eti sijui ndo kawa nigga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mi naona akijilazimisha vizungu vya Kuigiza ndo wanamdharau zaidi.[emoji23][emoji23][emoji23] umeua mkuu ila the thing is sometimes you have to blend in, army personnels call it "flexibility". You ought to dance according to the tune sasa ukiongea kiiengereza kile cha Ras simba au kile cha kwenye Things Fall Apart, No Longer At Ease, I'll Marry when I want, Is It Possible, Three Suitors One Husband etc. Mbele ya wanyama kina Quavo, Lil Baby, sijui Lil Yachty etc. Itakua noma [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini?Ungeandika huu uzi kwa kizungu na ww
"i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani anaongeaga na wewe,we ni mswahili akitaka kuwasiliana nawe atasema Kiswahili.halafu hata kama akikosea wenye lugha yao si wanamwelewa.halafu maoni mengine yamejificha ktk wivu mbona wazungu wanaokinyonga kiswahili hamuwasemi? Badala yake mnawasifu vivo hivyo na hao wenye lugha yao wanamwona ni mtu anaejitahidi na wanamwelewa kama sisi tunavyowaelewa wanapokoseaMi huwa simuelewi kabisa.
Nikisikia anaongea zile Garaah Garrah zake nabaki kuhamaki tu.
Mswahili wa Tandale vipi kujitia uniggah uchwara?
I garrah million dollars, i garrah cars, i garrah bitches!Garaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama.Kwani anaongeaga na wewe,we ni mswahili akitaka kuwasiliana nawe atasema Kiswahili.halafu hata kama akikosea wenye lugha yao si wanamwelewa.halafu maoni mengine yamejificha ktk wivu mbona wazungu wanaokinyonga kiswahili hamuwasemi? Badala yake mnawasifu vivo hivyo na hao wenye lugha yao wanamwona ni mtu anaejitahidi na wanamwelewa kama sisi tunavyowaelewa wanapokosea
Hahahahaaaaaàa.....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe endelea kukereheka na gorrah + garrah lakini Sadala anazidi kupaa kimafanikio, kama hiyo lafudhi yako ya Kikerewe ndiyo inakuletea mkate mezani na wewe ikazanie hiyo hiyo.Mimi sina shida na vizungu. Nilishabukua nikapata A plus kutoka Kindergarten mpaka vyuo vikuu vya kimataifa.
Kwahiyo ung'eng'e naucharaza kama Kinanda na lafudhi yangu hii ya Kikerewe.
Shida yangu ni hizi I GORRAH DO, I GARRAH sijui nini...
Ndo nini yaanii??
Yeye ana shida na ndo hiyo.Mimi sina shida na vizungu. Nilishabukua nikapata A plus kutoka Kindergarten mpaka vyuo vikuu vya kimataifa.
Kwahiyo ung'eng'e naucharaza kama Kinanda na lafudhi yangu hii ya Kikerewe.
Shida yangu ni hizi I GORRAH DO, I GARRAH sijui nini...
Ndo nini yaanii??
Ashukuru hata hapo alipofikia na kammwe asiwadharau WEMA NA ZARI KWA KUMFUNDISHA KITHUNGUUkisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh!
Wajameni, kwani hivi hawezi kuongea kizungu cha Kiswahili? I mean, Kizungu chenye lafudhi asili ya mtu mswahili!
Mbona wakenya wanaongea kizungu chenye lafudhi ya Gikuyu! Ama wahindi pia huongea lafudhi ya kihindi.
Huwezi kuta muhindi anaongea hizo "I garraah garraah .... sijui nini nini!
Zungumza lafudhi uliyozaliwa nayo ndugu. Utaheshimika tu.
Sasa haya maigizo ya "i garrah go" yanatoka wapi? "
"Yooooh ma Niggah, you garraah Niggah"
Ndo nini sasa?