Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,184
- 1,914
Kwahiyo hizo "i garrah go" ndo kizungu alichojifunza?Binadamu bwn wivu tuu au anakuchukia tuu mtu alikua hajui hata hyo gra gra kajifunza ili lengo lake litimie kwani kasema anajua hyo lugha ?? Kuzdi wngine ?
Sio kwa zile garrah garraah...Kwenda Marekani kwenye zile tuzo za grammy mara kadhaa kumemsaidia akajua kizungu, mtamkoma.
Kaeni humu humu, msiondoke niwape vidonge vyenu.Na sisi wa chips egg far far or confuse tukae wapi?
Mayai ya Malkia Elizabeth.Kizungu ndio lugha gani?
Unazungumziaje hizo "I gorrah go"?Diamond kama msanii wa kimataifa alitakiwa kujifunza lugha walau kidogo. Halafu ukijua wewe lugha kwako ni kama marehemu wa awamu ya tano, usiruhusu kurekodiwa kimandazi mandazi.
Sijawauliza.Kwani CCM wenyewe wanasemaje?
Kipindi tunatoa ushauri uende British council akasome English course alituona na mipimbi akaamua kwenda kwa Ras simba haya ndio matokeo yake YES NO..Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh....
Mimi sina shida na vizungu. Nilishabukua nikapata A plus kutoka Kindergarten mpaka vyuo vikuu vya kimataifa.Kipindi tunatoa ushauri uende British council akasome English course alituona na mipimbi akaamua kwenda kwa Ras simba haya ndio matokeo yake YES NO..
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Yooooh ma Niggah....Garah garah nyingi kweli bana