Mbona sasa hujacheka...?!Hivi kwa nini kunakuwa na huu usadiki wa kwamba mwanamume amuibiaye mkewe yeye huyo mkewe haibii na wanaume wengine?
Au ni kwa vile wanawake wao huwaga hawaibii na kama ikitokea wameibia eti wanasemaga lazima kuwe na sababu au watakuwa wamependa huko kwingine?
Inachekesha!
its just amazing if nt fascinating to see how desperate human race has become! desperate for lov, attention, u name it! bt there is one lov that quenches the thirst! u discover it, u have discoverd it all!
yaani mada hii imenikumbusha mdada aliyekuwa na affair na mchumba wa dadake. jamaa akachanganyikiwa hadi akamvua pete dada wa watu. baadae yule mdada alimpiga chini jamaa, telling him if u could sleep with me hata tukioana uta-sleep na ndugu zangu na rafiki zangu. jamaa aliishia kudata tu! mtendwa hutendwa, what goes around comes around. no body is invisible, unless uko jf,lol!
Haya ni mafundisho ya dini ya kigaidi.Mmh..nyumba ndogo tamu asikuambie mtu!
Inabidi kweli mada kama hizi ambazo hazimhusu "mtu maalum" ziwe zionaongelea pande zote mbili. Kama ambavyo umesema mwanaume anapoteza ile haki ya kupendwa nje (japo sikubaliani na hili maana anaweza kupendwa bila yeye kutaka) ieleweke kwamba hata kwa mwanamke ni vivyo hivyo.
Dini ya kigaidi ndio ipi hiyo?Haya ni mafundisho ya dini ya kigaidi.
Kama unataka kuonja raha ya kubebwa mgongoni ukipelekwa bafuni na kurudishwa kitandani, basi hutaipata pengine popote zaidi ya nyumba ndogo! Acha tunyong'onyee kimwili na kiuchumi, lakini raha twapata.
<br />Kama unataka kuonja raha ya kubebwa mgongoni ukipelekwa bafuni na kurudishwa kitandani, basi hutaipata pengine popote zaidi ya nyumba ndogo! Acha tunyong'onyee kimwili na kiuchumi, lakini raha twapata.
Ni obvious, hata ukiamua kumuoa, still utapata best services!Sasa kwanini msiwaoe hao nyumba ndogo ili muwe mnazipata usiku na mchana badala ya kua limited!!?
Ni obvious, hata ukiamua kumuoa, still utapata best services!
ukioa mwanamke zaidi ya mmoja unaongeza competition baina yao! Kila mmoja anataka akupe vitu vya ziada ili uwe unatumia muda mwingi kwake!
Kama unataka kuonja raha ya kubebwa mgongoni ukipelekwa bafuni na kurudishwa kitandani, basi hutaipata pengine popote zaidi ya nyumba ndogo! Acha tunyong'onyee kimwili na kiuchumi, lakini raha twapata.
Huyo anayetafuta mchumba ni pacha mwenzangu, sura tunafanana sana. Siyo mimi!!Wewe si una thread ya kutafua mchumba wa kuoa hapa!
Wewe hufai ni balaa unataka kuharibu dada zetu wa Jf.
Binafsi nashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu wanaokuwa na wake zao halafu wanapiga kambi kwa wanawake wengine (nyumbandogo/kimada)
kwani binafsi ninavyoamini ni kwamba hao wanawake wa upande wa pili ni vigumu kuweza kufungua mioyo yao na wakapenda kwa dhati coz ,wao watakuona kama mtu usiye na msimamo kwani kama leo upo kwao kesho utahamia kwingine kama ulivyomfanyia mkeo,
zaid ukishaoa unapoteza uhalali na sifa ya kupenda au kupendwa kimapenzi na mwanamke mwingine,
naona kama huko mnatumika tu kuwawezesha na laiti wakibahatika kupata choice zao ''kinachofuata ni kupigwa chini fasta ''na kurudi kuheshimiana na mkeo huku ukiwa umenyong'onyea kimwili hadi kiuchumi.
Uongo/ kweli?