Kihoro cha the walk of shame!!!!! Anaomba ushauri!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kihoro cha the walk of shame!!!!! Anaomba ushauri!!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Sep 13, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Nawasalimu Wakuuu!!!

  Kuna mdada tunafanya nae kazi leo kaniomba ushauri, sasa sijui imekuaje ofisi nzima aniombe mie ushauri, au nimekubuhu sana mpaka usoni nimenza kuonesha nini? Mimi humu ofisini mgeni ndo kinanitatiza, huu mda mdogo alioniona keshaniona mrengo wa kushoto!!!?

  Back to the topic, ushauri anaoomba ni kuwa yeye wakati wa THE WALK OF SHAME anajistukia sana, kama kabeba puli za bangiii!!!?? Kwa msiojua the walk of shame ni ule wakati umetoka kuvunja amri ya sita na mtu gesti, au getto kwake, sasa ile asubuhi ndo unarudi kwako ule wakati unatoka gesti mkavumkavu, uso wa kibandidu kama uliyofanya huko yote mema, ule muda, mwendo unaotembea na mawazo unayowaza ndo walk of shame yenyewe hiyo! Tena kama ndo umelala hukohuko ukaungia kazini ndo balaaa!

  Bi dada akiwa kwenye walk of shame roho inamtokaaa!!, anajistukia huyo!, akipigiwa simu hapokei, anajua labda mpigaji kamuona anatoka gesti!? Basi hii hali inawekera kweli wapenzi wake, mpaka wanamhisi ana mtu mwengine hivo hicho chote kihoro cha kufumaniwa! Afu walaa hata sio muhuni! Hii imesababisha relation zake zisidumu. Hata wewe ungekuwa bwana wake, mmetoka gest, mtu anajikunyata, haachi kuangaza angaza pembeni, nyuma na mbele afu alikwambia yupo single ungepata picha gani?

  Tena hana gari, basi The walk of shame kwake inakuwa ndefuuu usipime!, umbali wa gesti zilizojificha mpaka kituo cha basi si mchezo atiii?!? anakondaje!!!.

  Mie nikamwambia nipe mda ntakutatulia!!, Ila ukweli mimi binafsi nilipofikia I GOT NO SHAME LEFT AT ALL!!! I have walked the walk of shame mara nyingi, kwa mda mrefu sana na watu wengi sana kiasi hata dhamira imekufa! Nadundika tu toka gesti mpaka kazini nikipiga mluzi wangu freshhh! Sasa sikutaka kumpa ushauri coz kichwa changu nakijua mwenyewe na sikutaka tu ajue huu ukweli, manake atanishushia hadhi ofisini buree!

  Sasa nyie maexpart mnao walk the walk of shame kutoka LODGE mpaka kwa WIFE, tena unacheza na wanao kidogo sebuleni, na janaba lako ulilopunguza na shower za lodge, afu unatinga matrimonial room unamwambia wife umemmiso siku nzima!!! nini siri ya ubandidu wenu?????????? Nipeni jibu nikashauri huko, furaha ya mtu iko at stake!!! Wkt wa game mawazo yote yapo kwenye The Walk of Shame!!!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ngoja waje . . .
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahahaha. . .

  Mwambie awe anawapeleka kwake huko hakutakuwa na 'walk of shame', sana sana kutakuwa na 'look of shame'akiwa anamtoa jamaa yake asubuhi.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  walk of shame...ndo naisikia leo
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Kwa nini iwe "Walk Of Shame"?

  Oh yeah, amri ya sita.

  Look, you can't eat your cake and have it too. Mwambie aamue kuwa mtawa au msela.

  Au aolewe atambae tu, no "Walk of Shame". It kills.
   
 6. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm...sasa sii aache tuu kupigwa miti jamani kama anaona haya. ila kusema kweli ile noma maaana unatembea watu wanajua kabisa umetoka kumegwa K.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi mwenyewe hii kwangu mpya. Ndio nimesikia leo.
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Nilifikiri mimi tu wa mwisho wa reli kumbe hata nanyi wa dalisalamu.
   
 9. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndo kukua kwa lugha huko hebu toeni ushauri msijifanye baraza la lugha.
   
 10. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  ka vipi amtambulishe huyo kidume anakokaa kama shem wao halafu inakuwa POA au awe anakwenda kwa huyo mshikaji, vinginevyo anatumia Tax kwenda na kurudi.............
   
 11. b

  bagi JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 813
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  hiii kali
   
 12. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,inaonekana mdada huchukua waume za watu. haingii akilini kijana singo ampeleke guest. . . btw aache kugawa sana itamsaidia. awe na kijana mmoja permanent, ambaye atakuwa free kwenda kwake na kijana atakuwa free kuja kwake.
  ni mtazamo tu
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,322
  Likes Received: 2,306
  Trophy Points: 280
  Na mimi pia sijawahi kuisikia........Unaonaje tukijikusanya tukachanga halafu tumwite mleta trhead atupige darasa misamiati ya ki-sexy sexy..............Mjini hapa unaweza kuonekana mshamba bure!!!
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwa tatizo hilo basi asiwe anaenda mbali na kwake. Ili kupunguza hiyo hali amwambie mtu wake awe anamfuata wamalizane kila kitu kwa huyo binti. Itasaidia kiaina.
   
 15. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lol!! kuna wakati unajikuta umependa pembeni kiukweli lakini nikifikiria hiki kipengele ntatokaje huko na sikuwa na mtu wangu duhduhduh! i will remain innocent kwa kweli its true ni walk of shame nadhani mana mbona yaogopesha!! kabla hujawa na commitment unaogopa wazazi sijui! ukiwa nayo tayari whether bf au mume/ mke unaogopa cheating! fyuuu
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  haaaaaaaaaaaaaa yaani huyo anaona aibu wakati kapata utamu? anamuonea nani aibu.......? khaaa mwambie mwanamke konfidensi
   
 17. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  'Walk of shame' kwa lugha rahisi ni kama hali ya moyo kukusuta au kujistukia unapokatiza eneo ambalo haujalizoea baada ya kufanya tukio la mahusiano yasiyo halali mahali fulani. Hii haiwezi kukupata kama umefanya hivyo na mkeo.
  Dawa ya kuondokana na tatizo la 'walk of shame' ni kuacha uzinzi tu ...
   
 18. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha, super idea ngoja tujikusanye aisee! Wapi The Boss?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280

  Umeonaaaa! Inataka moyo wa chuma! Ukikutana na mtu anaekujua au mzazi wako njiani unaweza kuomba ardhi ipasuke uingie!!!!!!
   
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,122
  Trophy Points: 280
  Hajabahatika ndoa mwenzio kama mie, si unajua ndoa bahati? Sasa mtu ukisema usubirie ndoa unaweza kuwa 40ysr n still a virgin. Sasa kujipoza ndo hiyooo shame! inammaliza
   
Loading...